Huyu jamaa asipochukua ballin d'or nitawaalani Sana waandaji
He deserves
Timu kubwa zote zimechukua hili kombe angalau marambili
wanaangalia creteria mbili katika kukokotoa points ambazo zitamfanya mchezaji awe mshindiKushinda mataji hasa makubwa km WC, Euro, au Uefa huku wewe ukiwa ndiyo main source ya hayo mataji kwa kufunga goli nyingi au kuwa engine ya ushindi, ila kwa sasa yanaangaliwa zaidi magoli japo zamani haikuwa ishu sn, walikuwa wanaangilia zaidi mchango na ufundi wa mchezaji, cku hz imekuwa kisiasa zaidi.
“No, for the moment we are savouring the Champions League, the Euros are soon, I will join the France team and I hope to win that as well.”
Kwahiyo wachezaji pekee watachukua pesa zaidi ya zawadi, mil 240?Chelsea wanaweka kibindoni Euro mil 95 na ushee, kila mchezaji kutoka kwenye mgawo wa mil 10 ulioahidiwa wakishinda kombe, wachezaji 24 walishiriki na wengine waliotokea kwenye hatua ya makundi mfano Tammy Abraham na Anjorin watalipwa kiasi fulani, hawatatoka kapa
Mwenyewe nmejiuliza ila nikakaushaKwahiyo wachezaji pekee watachukua pesa zaidi ya zawadi, mil 240?
Wanagawana, sijasema kila mmojaatachukua mil10Kwahiyo wachezaji pekee watachukua pesa zaidi ya zawadi, mil 240?
Kuanzia aje tuchel, christeansen kaimprove sana, kuna kipindi silva alikosekana ila christeansen aliziba pengo lake vizuri tuCity walibanwa mbavu kweli kweli
Kipindi cha kwanza ontarget 1, kipindi cha pili hakuna hata nafasi ya kupiga kwenye target
Japo sifa huwa zinawakimbilia aliyeassist na kufunga ila kwangu mimi sifa ziwaendee hawa wafuatao kwa kutoruhusu city wafanye mashambulizi
View attachment 1803304
- Azpilicueta
- Silva kabla hajatoka
- Christansen baada ya kuingia akaziba vizuri nafasi ya Silva
- Antony Rudiger
- Reece James
- Ben Chilwell
- Ng'olo Kante
Tatizo ni kuwa hatuwezi kufungwa na takataka kama Chelsea mara tatu mfululizo kudadekiii...
Yaan wachezaji wote wapo na moto ...
Mtajuta kuingia uwanjan nyie madogo wa darajani ,
Man city 3- 1chelsea
Come on city
Leo mkifunga hiki kikos ,ndio man city hii sio kina sterling hawaaa
---------- Erdeson -------
Walker -----stone----dias----zincheko
Gundogun-------frenandinho -------bernado
Mahrez --------KDB-----Foden
Mkitufunga hapo 90min full ,chelsea win kwa hicho kikosi ,basi nitanyoosha mikono kuwa saaa tushakuwa vibonde ....
Come on city
Ukibeba kombe nakunya kutoka Mwenge mpaka Posta,trust me Mark my words
Hizi ahadi za kijinga siku moja atakuja kuahidi kugawa nyuma huyo[emoji16]Mkuu vip umekunya [emoji23][emoji23]
Mkuu bado Niko kwenye mashamu shamu ya kufurahia ubingwa.Wapi ANTONIO CONTE? huyu mwamba aje atupie chochote kwa kweli maana ni mchambuzi mzuri sana kisoka.