Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Goli halina creators, goli limetokana na high pressing, Auba katoa assisst kwa Emile. Arsenal imetengeneza chansi 1 na hiyo hiyo ndiyo goli nyinyi mmetengeneza mbili zote mmemiss.

Tumebebwa na VAR. Wapi? Tangu VAR ianze kutumika Arsenal inashika nafasi ya juu kwa timu ambazo haziwi favored na VAR.
So siyo offside?

Tulipark bus. Yea. Kupaki basi ni game plan pia. Ambayo uingereza aliyeanza kuitumia ni chelsea.

Kuhusu kusema nyinyi na united ni vibonde vyetu hilo nalisema kila siku so unavyosema tuna bahati siyo kweli ila nyinyi ni vibonde kwetu.
Vipi ile hoja yako ya kwenye ile thread yenu na ya huku tuamini ipi sasa
Maana ni sawa na shabiki anayetaka kocha wa tim yake afukuzwe kwa matokeo mabaya siku akishinda anataka tena aendelee kuwepo,
 
Game bado haijaisha mzee

Wanapewa nafasi wanafanya fyongo ila lakini ile mistake huwezi kumlaumu kepa jorginho ndio kafanya upuuzi ule
Kosa la msingi 75% ni Zouma, anafuatia mjinga Kepa kwa 20% kaacha goli bila sababu yeyote na kidogo simlaumu sana Jo katoa pasi bila kuangalia goli kachangia 5% ya mistake
Kepa angekuwa golini ile wala haikuwa pasi ya nguvu. Rudiger angekuwa hapo asingefanya huo ujinga alioufanya Zouma
 
Vipi ile hoja yako ya kwenye ile thread yenu na ya huku tuamini ipi sasa
Maana ni sawa na shabiki anayetaka kocha wa tim yake afukuzwe kwa matokeo mabaya siku akishinda anataka tena aendelee kuwepo,
Nimekwambia nilichokujibu nimejibu kutokana na wewe kufocus na shombo
 
Sasa wew kwa akili yako pale uliona Zouma alikosa wa kumpigia mpira? Ni ujinga wake tu wa kupenda kurudisha mpira nyuma
Yani sijui kwanini huwa linakariri kurudusha mpira nyuma tu bila hata kuuyoa nje inapobidi?

Hii staili ya Zuma huwa kila siku naikataaga kwa ujinga huu huu.
 
Hata nyinyi city, atletico na porto mliwafunga kwa bahati tu. Kikosi chenu ni dhaifu hakina uwezo wowote ule.
Ni time yako ya kuongea. Tumekuwekea kikosi B bado kimekunyanyasa. Umeangalia mpira dakika 90 huku umebana kende.
 
We jichekeshe tu. Hivi jana mpo serious kabisa mnajisifia mmeifunga chelsea?

Hey Fella, Halafu mnasema arsenal ni timu kubwa?
Sisi hatuwezi kujisifia tukiifunga chelsea au united. Kwani we hujui kama chelsea na united ni vibonde vya Arsenal?
 
Haya tumekupa point 6 zimekusaidia nn?
Mmetugea points 3 tu.

Kanuni ya ligi ya EPL inasema ukishindwa kukipiga kibonde chako kuanzia goli 3 points zote anagewa huyo kibonde.

Na Auba kashasign barua tangu jana usiku.
 
man u na chelsea wana finals. isitoshe wapo top 4. arsenal iko wapi?
Hehehe ila nyinyi mnachekesha.

Arsenal hatuna mpango na makombe yale tuliyoyapata msimu uliopita kipindi nyinyi mnacheza tokomile yalikua hayana maana yoyote kwetu.

Sisi mafanikio yetu ni kuwapiga chelsea na united tu.
 
Hehehe ila nyinyi mnachekesha.

Arsenal hatuna mpango na makombe yale tuliyoyapata msimu uliopita kipindi nyinyi mnacheza tokomile yalikua hayana maana yoyote kwetu.

Sisi mafanikio yetu ni kuwapiga chelsea na united tu.
Sasa yale nayo ni makombe?

Hii timu aiseeee ni matakataka.
 
Bora umejua.
Kufungwa na Arsenal inabidi iwe wake up call.

Atalanta wakati wanapiga watu tano na saba walikua wanatumia formation ya mabeki 3 na Arsenal ilianza na formation hii chini ya Arteta ikaanza vizuri sana.

Kisha mechi zikaanza kupotezwa, str8 up tukajua timu inahitaji kuchange formation. At the same time Atalanta akaanza kufa na kupona.

Tuchel knows kwamba hii formation itafika sehemu itagive in as ni formation ya tournaments kuliko season long campaign, so kuna siku akajaribu 4 2 3 1 dhidi ya underdog fulani hivi, mlisuluhu ile game. Kuanzia pale akaresort na mabeki 3. Westbromwich wakamuexpose, Arsenal imemuexpose.

Tukutane msimu ujao. Nilimuambia shabiki wenu mmoja 'London laughingstock. Sooner'

Narudia na kwako wewe

London laughingstock. Sooner.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom