juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Mara ya mwisho kumfunga chelsea home n away ilikuwa ni wakat wa invincibleBwana mkubwa Arsenal ana vibonde vyake viwili united na chelsea. Kwahiyo mi haya matokeo sishangai
Mara ya mwisho kutufunga home ni 2011-12
Nadhani hayo ndio mafanikio yenu kutufunga home and away msimu huu
Ila leo bahati ilikuwa upande wenu same to VAR,