Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Babu Azpilicueta Jana alichoka sn.Jana ilivyofanyika sub Madrid wakaingia madogo wakina Asensio halafu ukimwangalia Captain Azipu kashavuja jasho mpaka tone la mwisho nikajikuta napiga kelele TT INGIZA JAMESSSSSSSSSSS.
Kweli enhhhhhKatika kitu nimejifunza ukimnunua mchezaji wa Chelsea na ukakutana fainali au mtoano na Chelsea huyo mchezaji usimpange.
Huyo kaanza kushabikia mpira juzi hayajui hayo...Wewe hujui maana ya underdog
Underdog sio kama unavyofikiri wewe
Chelsea walivyocheza vizuri hadi kufika fainali na uzoefu walionao kwenye haya mashindano inatosha kutowafanya wao underdog mbele city
City hawajawai kufika nusu fainali wala fainali wala kubeba kombe hili,
Mbele ya Chelsea City ni underdog tu kwa sababu hawana uzoefu wowote na haya mashindano
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Katika kitu nimejifunza ukimnunua mchezaji wa Chelsea na ukakutana fainali au mtoano na Chelsea huyo mchezaji usimpange.
Wachezaji ambao wapo Chelsea na PSG wapo tofauti kimbinu neymar, Mbappe na Di Maria hawapress Wala hawakabi sometime wailetea matatizo team nzima ukija Chelsea wachezaji wengi wapo vizuri kimbinu ndio utofauti unaanzia hapa.Sidhani.
Sijui kwanini hamtaki kurefer kipindi chake na PSG
PSG haina wachezaji, kule kuna Naymar, Mbape na Dimaria tuSidhani.
Sijui kwanini hamtaki kurefer kipindi chake na PSG
Jamaa unamkumbia Petr Cech kule Baku niniKatika kitu nimejifunza ukimnunua mchezaji wa Chelsea na ukakutana fainali au mtoano na Chelsea huyo mchezaji usimpange.
Hizo ni fake newsAccording to The Sunday World, they are looking to sign a new centre back, a new winger, and a new centre forward.
PSG centre back Marquinhos, Dortmund winger Jadon Sancho, and Inter Milan striker Romelu Lukaku are the players Chelsea are targeting.
Lukaku is nothing new, we have been hearing these links for a while, but Chelsea being back in for Sancho is a new development, despite being previously linked.
Marquinhos has had his name whispered with Chelsea interest previously, but nothing major really until this one.
Kwani ni lini chelsea ilikua haikabi?Wachezaji ambao wapo Chelsea na PSG wapo tofauti kimbinu neymar, Mbappe na Di Maria hawapress Wala hawakabi sometime wailetea matatizo team nzima ukija Chelsea wachezaji wengi wapo vizuri kimbinu ndio utofauti unaanzia hapa.
Huyo huyoJamaa unamkumbia Petr Cech kule Baku nini
Hawa watu walifika fainali ucl huku Mbape na Neymar majeruhi.PSG haina wachezaji, kule kuna Naymar, Mbape na Dimaria tu
Thomas Tuchel sio Mourinho. Mwakani hatupoi kabisa. Maana mwakani ndio moto utawaka kweli kweliKwani ni lini chelsea ilikua haikabi?
Kusema kwamba Thom kaifundisha chelsea kukaba?
Mko na Lampard mnapress, mna speed, mna pasi za kwenda mbele, cross za Reece, squad depth pana.
You had everything isipokua magoli.
Now Thom kaja robo msimu kafungwa 5 na westbrom. Westbrom in 2021 kamfunga chelsea 5, mbinu ziko wapi hapo? Next season mtaanza na moto kisha utapoa, kama Spurs.
Jose kaichukua timu njiani akaonyesha matumaini next season akaanza kwa moto akapoa kafukuzwa.
FL kafanya vizuri msimu wake wa kwanza tukiwa kwenye BAN kwa kuwatumia vizuri academy, ila baada ya kusajili kikombe kilimzidi akapoteana na wachezaji, yaani akashindwa kuelewana lughaIla hapa tusisahau Frank Lampard. Aliichonga na kuisaidia sana timu kuvuka kabla ya kuanza kupata matokeo mabovu. So ni kuna watu wawili kwenye hili kombe, FL na TT