Uko sahihi kabisa kwa 100%, Mabosi wa UEFA ndiyo wanufaika wakubwa sana kimaslahi kuliko uhalisia wa klabu husika ambazo zingepaswa kunufaika pia.Worry yangu ni kuwa hizi timu kubwa kwa muda mrefu walitaka UEFA wabadilike ili timu hizo ziwe na manufaa zaidi na hayo mashindani lakini hawakusikilizwa, sasa supa league imeanzishwa kama kuwakomoa UEFA
Kwa sababu ya mashabiki, Man City nao wanajiandaa kujitoa timu zote za EPL nasikia zitajitoa kwa sababu Epl na FA wametoa tamko la kupinga ESLChelsea wanajianda kujitoa kwenye super league
Hii gme tusipojiangalia tutadrawKipindi cha kwanza tumecheza mpira mbovu sana
Hiv wachezaji hawajui umuhimu wa game ya Leo?
Hii gme tusipojiangalia tutadraw
Aiiisee lakn mkeka ✅✅✅Ndio tusha suluhu hivyo
Timu imecheza hovyo leo wachezaji kama hawapo uwanjani vile
Na ilikuwa tufungwe dk za mwisho kwa mistake za zouma na jorginhoMkuu usiwalaumu wachezaji. Kuna siku mpira unakataa kabisa. Leo Brighton walikuja na mkakati wa kuvuruga mpango mzima wa chelsea. Na wamefanikiwa.
Draw siyo mbaya ingawa mechi ya leo ilikuwa na umuhimu wake. Next tupo na West ham naamini tunaenda toboa