Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Waamuzi wengine wanaharibu mipira na kuharibu record za watu. Huyu alitumwa na FA kuharibu record ya Tuchel na Chelsea
Nimemkumbuka Mourinho. Yaani Leo angekufa na refa
Mkuu tusilaumu ndiyo mpira ulivyo. Chamsingi tuendelee kuisapoti timu yetu. Tuchel ni kocha mzuri. Blue is colour, always blues
 
Tuchel hana mbinu ikiwa timu ipo pungufu. Silva red card ndio imepelekea hiki kipigo. Mmecheza vizuri japo mmepoteza. Westbrom nao wamecheza vema na wametumia vizuri mapungufu yenu.

Poleni.
Mpira ni mchezo wa makosa. Ukikosea kidogo unaadhibiwa ipasavyo. Unakumbuka ule mchezo wa Liverpool na Aston villa. Hakuna aliyetegemea Liverpool kupigwa 7
 
Ukweli unauma, kuanzia namba 4 hadi namba 9, atakayeremba matokeo atakosa top 4 na hata top 6, no UEFA no EUROPA
 
Sisi km The Gunners kufungwa na The blauzi pamoja na ndugu yake Nyumbu ni MWIKO
 
Hii timu wachezaji wakitokaga international wanakuwaga kama walevi vile.. apo tunaeza poteza game kama tatu hivi au nne ..hichi kitu cjui kwanini kinawaleteaga wachezaji wetu shida.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
 
Kipindi tulichopo ni kile cha mwenzako akinyolewa wewe tia maji, Kila timu itanyolewa
Timu zingine ziko busy na kufuzu top 4 na zingine ziko busy kufuzu Europa league na zingine ziko busy kufuzu mid-table na wengine wako busy kuepuka kushuka daraja

Ila mashabiki wa Arsenalli ni vichwa maji hata wakibugizwa nyingi mfululizo wao wako busy kwa majirani wanajipendekeza
 
Barcelona wametakiwa kulipa hii fee kwa Haaland mbali na fee ya Klabu

  • €20M in agent fees for Mino Raiola
  • €20M in agent fees for Alf-Inge Haaland
  • €30M net per year (after taxes) in wages
 
Hii timu wachezaji wakitokaga international wanakuwaga kama walevi vile.. apo tunaeza poteza game kama tatu hivi au nne ..hichi kitu cjui kwanini kinawaleteaga wachezaji wetu shida.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Mkuu hapo kupoteza game 3 mpk 4 umezidisha sasa....juzi ilikuwa bad day @ the office Tu ...lkn game Hz zilizobaki na tukihitaji kuwa n uhakika WA kombe lolote kwakweli tunahitaji nishati ya kante...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom