Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,695
5 5555555555555555555555555555555555555555 5
Mbona kama unaweweseka tulia mumeshanza plastic fansKwa matokeo haya kuna kila dalili kuwa Chelsea ita drop kwenda nafasi ya 6 Westham na Spurs wakishinda mechi zao
Haya haya Rudi nyumbani ukazime moto5 5555555555555555555555555555555555555555 5
Pakti ina condom tatu na mbili zimetumikaLondon is Red, always
Mwaka huu hata kombe la mbuzi hamtashirikiLondon is Red, always
Red mpaukoLondon is Red, always
Boya wewe hujui mpira.Jorginho na Kovacic jana waliisababishia backline kupwaya, hata makosa ya Silva ilisababishwa na Central Midfielder poor performance.
Baada ya red, Tungeendelea na 441 ingefaa tupunguze beki mmoja kati ya rj or azp angepumzishwa mmojawapo ili christensen aingieKufungwa kulikuwepo ila kufungwa 5 imekua bonge la suprise.
Poleni wana blues wenzangu. Ila tulikosea wapi leo?