Pulisic ajacheza sana ila kucheza kidogo tu ashapata injury, mda mwingi sana sahiv pulisic anautumia akiwa nje na hicho ndio kitu kinaifanya kiwango chake kishuke,

Kante tutegemee kumuona 2nd leg
Good news:
Wote watatu (Pulisic, Kante na Tammy) watakuwepo kesho, wameshafanyiwa assessment na wako fit

Speaking at a press conference on Tuesday, the Chelsea head coach said: "They are fit enough to be in the squad and will be in the squad - all three.

"That's good news. Christian went off before an injury could happen. He said at half-time he feels like if he continues there will be an injury coming, so we decided to take him off.

"Tammy is in the squad and N'Golo just did a test and will be on the bench. He feels very comfortable, comfortable enough to be on the bench."
 
Predicted Line Up leo saa 4 usiku vs Porto

Formation 3-4-1-2

Werner ------------------------------------------ Havertz

----------------------------Mount-------------------------------

Alonso -------- Kovacic --------- Jorginho -------- James

Rudiger -------------------- Silva -------------------- Azpilicueta

Mendy
 
Predicted Line Up leo saa 4 usiku vs Porto

Formation 3-4-1-2

Werner ------------------------------------------ Havertz

----------------------------Mount-------------------------------

Alonso -------- Kovacic --------- Jorginho -------- James

Rudiger -------------------- Silva -------------------- Azpilicueta

Mendy
Kwa game ya leo naona bora aanze chillwel kuliko also
 
Tutadifence then tupige kaunta attack
1617790382421.jpg
 
Porto watacheza bila wachezaji wao muhimu leo
Success over Juventus came at a price:
two key players, striker Mehdi Taremi and midfielder Sergio Oliveira, are suspended for tonight's first leg. Between them, the pair have accounted for 21 of the Dragons’ 49 goals in the Primeira Liga and nine of their 32 assists.

Hasa huyu Sergio Oliveira ni wa hatari sana kwenye kufunga, kuassists na kutengeneza nafasi. Chelsea inatakiwa kuwafunga hawa kwa magoli mengi ili kufanya mchezo wa marudiano mgumu kwao
 
Chelsea hawachezi vizuri kama walivyocheza na Atletico Madrid. Makosa makosa mengi, Jorginho anacheza rafu na wachezaji wengi wanapoteza mipira hovyo japo wanamiliki mpira kwa 70% kama nilivyotabiri huko nyuma
 
Porto wanacheza 4-5-1 kwenye vitabu lakini kiuhalisia wanacheza 6-3-1 kama hii formation ipo kwa sababu golini wako 6
 
Back
Top Bottom