Msumali ulikuwa unanichoma pale robben na ribbery walipokuwa wanatembea kwenye uzi Mungu si Athuman ribbery akaumia mguu
Referee wa hii mechi kajitahidi pia..kwa mtazamo wangu!!
Rev. Masanilo, Pesant, Ab-Tichaz, Invisible, AljuniorTz, Dark City, Kongosho, Nitonye etc....WELL DONE🙂)😛hoto:
Home Bitter Home (not Home Sweet Home) kwa Bayern leo..khaa
Tumeshanyanyua, ngoja nifungue mizinga yangu.
Wenye majina watafufuka leo
Si uliambiwa utaamka tu kwa kelele..kwanza hukuweza kulala..hongera!! chiazi
ivi ni visa vya makusudi !
Kuwapa mods kazi zisizo na mpango.
Ivi ili jukwaa gani !
I nayo ni siasa kweli !
I see skies of blue
oh what a wonderful world
Yaani kelele zao bora acha tu..na wataweka mapicha wiki nzima..wapi Tichaz atakuwa anaandaa documentary kbs🙂))
Na sisi tujitahidi mwakani tulichukue, Inshallah.
Usitunyime bwana...tunasherehekea wote.....
Babu DC!!