Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 569
Kwa kweli kwenye kupress yupo vizuri,ila kama angekuwa na shabaha ya kushoot angekuwa na magoli mengi sana,maana kupunguza anaweza na mbio anazo,Ah huyo jamaa Kwa kuzishinda press yupo vizuri shida kwenda mbele kwenye kuattack Ila mpe sifa zake anastahili
Nahic timmo ana pressure sana kutaka kuprove kuwa ni mfungaji but ilo ndo linafanya akose utulivu mbele ya goalKwa kweli kwenye kupress yupo vizuri,ila kama angekuwa na shabaha ya kushoot angekuwa na magoli mengi sana,maana kupunguza anaweza na mbio anazo,
Mzee pole kwa kuliwa pesa ya kununua LUKU home.
Hata hivyo bado wewe utabaki kuwa mchawi wetu tu[emoji16]haya bhana!
Ila nawapa hongera wana blues kwa soka tamu mlilocheza jana. Kwa kweli Tuchel kawabadilisha sana.
Naona wachezaji wana confidence ya kutosha.
Kwa kifupi siku hizi mnacheza kibingwa!
Hongereni sana!
Kwa mara ya kwanza leo unakula Like yangu. Mpira ndo unatakiwa kuwa ivyo. Kosoa panapostahili Tania panapostahili Pongeza panapostahili[emoji16]haya bhana!
Ila nawapa hongera wana blues kwa soka tamu mlilocheza jana. Kwa kweli Tuchel kawabadilisha sana.
Naona wachezaji wana confidence ya kutosha.
Kwa kifupi siku hizi mnacheza kibingwa!
Hongereni sana!
Kuna siku Tomas Tuchel TT aliwahi kusema kua mfumo wanaocheza Chelsea ndio sbbu inayofanya Timo Werner ashindwe kua anafunga magoli. Na alitoa sbbu kua timu wanazokutana nazo zinalazimika kucheza deep. Yaani zinakua zinajilinda na kufanya kusiwe na nafasi. Kitu ambacho kina msumbua Timo ambae yeye ni mzuri ktk nafasi za wazi.Kwa jinsi nilivyomuona Werner ameanza kuimprove kidogo kidogo nadhani TT aendelee kumpanga match after match azidi kujiamini.
Werner ana kila sababu ya kuwa mchezaji bora KASI, NGUVU, PUMZI, RIGHT POSITION, HANDLING NZURI YA MPIRA.
Pale kwenye umaliziaji tuu apunguze mukari, haraka, atulize akili, naamini under TT atarudi kwenye ubora wake wa kupachika magoli mengi.
Tumpeni Moyo.
Chelsea kwa sasa kwa wachezaji iliyo nao inaweza kucheza mfumo wowote kulingana na opponents inayokutana nao.Umeongea vema, kwa mujibu wa maelezo yako je tucheze mfumo hatari wa kukabia nyuma ambao ni kitu cha hatari ili tumpe nafasi Werner kupata nafasi ya kufunga magoli au tusajili striker anayecheza Kwenye nafasi ndogo ili timu icheze comfortable?
kooora4liveWakuu naomba mtu mwenye link ya kutazamia mpira huu anisaidie tafadhali
Jana kabla ya mechi nilimuambia Mshabiki m1 wa Man City kuwa Mason Mount ni mpambanaji sana lakini bado hajawa na bahati ya kufunga magoli, pamoja na yote hayo anastahili sana pongezi na hapaswi kuwa mmje ya first 11 players kwa mechi yoyote, tuombe tu Mungu asipate majeraha.Mason Mount ni moja ya zao bora sana la timu..mazao mengi mazuri yaliuzwa ila huyu kijana ameiva mapema sana ..hata aje kocha gani kukosa kumpanga Mount itakuwa ngumu sana.
Tutafanya vema sana na huyu kijana
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Unamaono mazuriLiverpool win weka pesa ndefu
Utakuja kunishukuru
Vipi mkeka wako umetikiNimeweka Chelsea asipate goli hata moja, nimetia elfu 60.. nalala nikiamka nataka nione muamala wa M-Pesa umesoma.
OK. Lkn niulize swali kidogo. Kwa mfano ktk nafasi gani tunahitaji hao wachezaji?Brother kwa sasa Tuchel anatumia vema rasilimali ya wachezaji alionao kwa sasa kupata matokeo.
Ila binafsi naamini kabisa TT anahitaji wachezaji wapya angalau wawili kwenye kikosi chake, wachezaji ambao watakuwa ubongo wa mifumo, styles na mbinu zake ili apate matokeo kwa uhakika na ukubwa anao utaka.
Huwa namwangalia TT body language yake uwanjani kuna kitu huwa anatamani kiwe kinatokea kwenye uchezaji wa kikosi chake lakini hakioni kwa sasa.
Dirisha la July tutasajili believe that bro.
Umeongea madini sana mkuuuChelsea kwa sasa kwa wachezaji iliyo nao inaweza kucheza mfumo wowote kulingana na opponents inayokutana nao.
Mfano jana ktk kushambulia tulihitaji kuwashambulia kwa kasi na ndio sbbu Timo alianza badala ya Olivier Giroud.... Kwahiyo hiyo ilikua ni plan na approach ya jana ktk kucheza na Liverpool hasa ukiangalia aina ya wachezaji ambao Liverpool inao....
Sasa ktk game ya j3 approach na plan inatakua tofauti kulingana na Everton walivyo na uchezaji wao ulivyo. Kwa maana hiyo basi unaweza kuona Oliver Giroud akaanza hiyo j3. Na tukawa tuna press high sn na kumiliki mpira sn ili kutengeneza set passes ili watu km kina Mount na wengine waweze kufunga.
Binafsi sioni km tunahitaji kusajili striker mwingine. Hao waliopo wanatosha sn kinachotakiwa ni kuwafanya wacheze vzr na watupatie matokeo mazuri kila game. Bali tunahitaji kucheza mifumo tofauti na kuwafanya wachezaji wa improve.
Mfano mwingine ni kwamba tuangalie ata Upande wa Kushoto wa Alonso na Ben. Ktk hizi game tunaweza kuona kua hawa wachezaji wote ni wazuri ila wanatofauti kadhaa tu. Alonso hana mbio hivo kukimbizana na watu km kina Salah na Rashford hawezi na ndio sbbu ktk hizi game mbili hakupangwa. Lkn ktk game ya Everton Kuna uwezakano mkubwa sn akapangwa.
Kitu anachoshughulika nacho saizi Tuchel ni ktk eneo la kufunga magoli maana hapo ndio kunaonekana kuna shida ktk hizi game kumi tulizocheza. Lkn defensive tuko vzr na tunaendelea kua wazuri kila siku.
Na kuna uwezekano mkubwa sn kwa ratiba ya games zilizobaki Tuchel akamaliza michezo yote bila kufungwa ya EPL.
Maana hii ratiba ya games ya hivi karibuni Tuchel ndio alikua anapimwa wamuone uwezo wake.
Sasa kambakiza Everton tu na uzitoa wa wa Everton uko kwa mwalimu yaani kocha wao na si ktk uwezo wa wachezaji..... Kitu ambacho kwa quality ya wachezaji wetu na uwezo wa Tuchel lazima hawa watoto tuwafunge...
One love the Blues
Jose is the [emoji238]Sarri yuko kwenye orodha ya makocha wa Chelsea walioondoka kwa heshima
View attachment 1717660
Chelsea kwa sasa kwa wachezaji iliyo nao inaweza kucheza mfumo wowote kulingana na opponents inayokutana nao.
Mfano jana ktk kushambulia tulihitaji kuwashambulia kwa kasi na ndio sbbu Timo alianza badala ya Olivier Giroud.... Kwahiyo hiyo ilikua ni plan na approach ya jana ktk kucheza na Liverpool hasa ukiangalia aina ya wachezaji ambao Liverpool inao....
Sasa ktk game ya j3 approach na plan inatakua tofauti kulingana na Everton walivyo na uchezaji wao ulivyo. Kwa maana hiyo basi unaweza kuona Oliver Giroud akaanza hiyo j3. Na tukawa tuna press high sn na kumiliki mpira sn ili kutengeneza set passes ili watu km kina Mount na wengine waweze kufunga.
Binafsi sioni km tunahitaji kusajili striker mwingine. Hao waliopo wanatosha sn kinachotakiwa ni kuwafanya wacheze vzr na watupatie matokeo mazuri kila game. Bali tunahitaji kucheza mifumo tofauti na kuwafanya wachezaji wa improve.
Mfano mwingine ni kwamba tuangalie ata Upande wa Kushoto wa Alonso na Ben. Ktk hizi game tunaweza kuona kua hawa wachezaji wote ni wazuri ila wanatofauti kadhaa tu. Alonso hana mbio hivo kukimbizana na watu km kina Salah na Rashford hawezi na ndio sbbu ktk hizi game mbili hakupangwa. Lkn ktk game ya Everton Kuna uwezakano mkubwa sn akapangwa.
Kitu anachoshughulika nacho saizi Tuchel ni ktk eneo la kufunga magoli maana hapo ndio kunaonekana kuna shida ktk hizi game kumi tulizocheza. Lkn defensive tuko vzr na tunaendelea kua wazuri kila siku.
Na kuna uwezekano mkubwa sn kwa ratiba ya games zilizobaki Tuchel akamaliza michezo yote bila kufungwa ya EPL.
Maana hii ratiba ya games ya hivi karibuni Tuchel ndio alikua anapimwa wamuone uwezo wake.
Sasa kambakiza Everton tu na uzitoa wa wa Everton uko kwa mwalimu yaani kocha wao na si ktk uwezo wa wachezaji..... Kitu ambacho kwa quality ya wachezaji wetu na uwezo wa Tuchel lazima hawa watoto tuwafunge...
One love the Blues
Cye maamuz yetu kasema anakutaka wwHuyu mount apewe paula
haya bhana!
Ila nawapa hongera wana blues kwa soka tamu mlilocheza jana. Kwa kweli Tuchel kawabadilisha sana.
Naona wachezaji wana confidence ya kutosha.
Kwa kifupi siku hizi mnacheza kibingwa!
Hongereni sana
Jana marudio ya hili goli nilikuwa naangalia sura ya Mount wakati anapiga hatua ya mwisho na kuupiga mpira golini nilijikaza aisee.
Huyu mount apewe paula
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu mount apewe paula