Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huo mkeka badilisha bado unao muda usije ukajuta
Hizo odds zao ndiyo zimenivuta. Pia kuifunga Atletico iliyochoka goli 1 tu kunanipa matumaini kua kwa nyumbu mtasafa.

Ila nitajitosa na kwenye live.
 
Pulisic hatufai, muda mwingi yuko benchi au kitandani
 
Pulisic hatufai, muda mwingi yuko benchi au kitandani
Atarudi tu. Anahitaji mazoezi na ushauri nasaha kwa maoni yangu. Inaumiza kucheza chini ya kiwango. IIimuathiri Timo kipindi kirefu ila ameanza kurudi. Na Pulisic atarudi tu!
 
Pullisic bonge la player bodi yenu ijichanganye kumuweka sokoni. Ila kama haikumuweka Odoi sokoni na Bayern wanamtaka sioni Pullisic akipigwa mnada.
 
Pulisic ni mchezaji mwenye kiwango kikubwa sana, changamoto inayomkabili ni MAJERUHI tuu.

Kama sio injuries walau angejaribu kuvaa viatu vya HAZARD

Pulisic hajawahi kucheza mechi zaidi ya 4 mfulilizo katika maisha yake ya soka.

Hata akiingia SUB dakika 10 injury ziko pale pale.
Ila Yana mwisho haya!
 
1614367445180.png
 
Giroud vs Cavani for 2020/21 Season

Both are 34yo and both play no. 9

Giroud played 20 games, 11 Goals, 0 Assists: Involved in 11 Goals
Cavani Played 22 games, 7 Goals, 1 Assists: Involved in 8 Goals
 
Reports from German newspaper Bild suggest mega-rich owner Abramovich, who spent more than £200million last summer, has given the green light for a big-money bid for Erling Haaland.
 
Muogope Mungu wako. Saka ana assissts nyingi kuliko Kai mliyemnunua kwa milioni 77.
Tuchel sio Lampard Ni kocha ambaye kimbinu yupo vizuri na anajua kutumia wachezaji waliopo vizuri alafu kumbuka tupo darajani nakushauri mzigo wako wake chelsea Kama unataka kupiga pesa usije baadae ukajuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom