Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahaha... nadhani zitakwenda penalties... wakati wanapiga penalty I was telling this guy ambaye tunaangalia wote kwamba Peter C. He is good with penalties! Wakienda penalties nadhani chelsick wanabeba ndoo hii
Yametimia! Subiri wenyewe wakusikie hapo kwenye red.
Mimi naiaminia Chelsea kwa penalties, lakini mpira ndio mpira, kila kitu kinawezekana.
Kila la Heri Chelsea!
 
Penalt zinaanza. Apa ni maombi. Ngoja tusubili utabili wa tb joshua
 
Tunaanza upya 3-3
Chelsea sasa kombe limo mikononi mwao.
 
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…