Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,632
Hii ni Futuhi.Thomas tuchel ni Kocha mwenye uwezo mdogo na mbinu ndogo jiulizeni kafundisha PSG na wachezaji waviwango vya dunia di Maria mbappe Neymar icardi verrati lkn hovyo jiulizeni anakuja Chelsea kumfundisha Abraham [emoji23][emoji23] karavati kepa Mendy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arsenal umemsahau yule mwenye uparaIn England
Man Utd managers since 1986:
1. Sir Alex Ferguson
2. David Moyes
3. Louis Van Gaal
4. José Mourinho
5.Ole
Arsenal managers since 1986:
1. George Graham
2. Bruce Rioch
3. Arsene Wenger
4. Unai
5. Arteta
Chelsea managers since 1986:
1. Bobby Campbell
2. Ian Porterfield
3. David Webb
4. Glenn Hoddle
5. Ruud Gullit
6. Gianluca Vialla
7. Ray Wilkins
8. Claudio Ranieri
9. Jose Mourinho
10. Avram Grant
11. Felipe Scholari
12. Ray Wilkins
13. Guus Hidink
14. Carlo Ancelotti
15. Andre Villas Boas
16. Roberto Di Matteo
17. Rafael Benitez
18. Jose Mourinho
19. Guus Hiddink
20. Sarri
21. Antonio Conte
22. Lampard
More Managers than EPL trophies. Clubs of noise makers.
Poor Chelsea
[emoji23][emoji23][emoji23]
Shida ya timu zilizoanza 2012 hiz, eti naacha!!!Wanangu, mnaniudhi sana mnavosema Kepa atarudi kwenye nafasi yake.
Naomba niwe mkweli, Kepa akirudi bc naacha kushabikia Chelsea rasmi.
Mount labda arudishwe acheze namba nane ila kumi pale hakuna kitu anajituma ila hazalishi kitu Sasa namba kumi huna mechi zaidi ya kumi huna assist wala goliChilwel sidhan kama anatia shaka kule kushoto hakuna upinzani
Alonso ashajifia tangu wakati wa sarri,
James mapungufu yake ni kwenye defens akiweza kurekebisha hayo anakuwa mzuri
Maana azplicueta age ishaanza kumtupa mkono.
Mount hii ni hazina, dg anajituma sana, natumai ataendelea kupigania namba na kuwa prove watu wrong
Kweli mzee pilisic ni dimaria watanoMchezaji anaeweza kujiangusha kama Neymar au?? Wachezaji zaid ya Di maria chelsea wapo, ishu ilikua kocha, mana kama Zieych,Timo,Pulics ni wachezaji wazur kuliko hat huyo Di maria wako. Huyo Di maria akija chelsea hapati namba.Nachokiona Tuchel anakuja kuchukua ujiko tu mana wachezaji wapo tena wazur kuliko PSG yenye wachezaji wawili Mbape na Neymar.
Jamaa kweli namshangaa anamtaja mchezaji aliyefeli ligi ya epl akiwa na manyumbu dhidi ya pulisic ambaye msimu wake wa Kwanza alikuwa na goli 9😀 ...jamaa wanachukia kweli watatafuta visababu Visio na mashikoKweli mzee pilisic ni dimaria watano
Mimi sijataka kabisa Lampard afukuzwe, nataka hata kesho arudi.
Hata akiwa mbovu atafukuzwa atakuja mwingine OVAKuna sehemu huko nyuma kama juzi hivi niliwachambua hao makocha
Performanec mbovu ilisababishwa na nini? Utarudi mgomo baridi wa wachezaji kwa hiyo kafukuzishwa na wachezajiChelsea huu utaratibu wa wachezaji kufukuzisha makocha ni wa kawaida kwao.
Hata Lampard kashiriki hizi mambo akiwa mchezaji.
Lakini kwa Lampard, itakuwa ni performance ndo imemwondoa.
Huyo hana formation maalumu, hizo zote nilizozitaja alishawahi kuzitumia aidha Dotmund au PSGHapo hakuna formation yake.
Hua anatumia 4 2 4.
Timu yote ilioza, ikifufuka mtamuona the real Mason MountMount labda arudishwe acheze namba nane ila kumi pale hakuna kitu anajituma ila hazalishi kitu Sasa namba kumi huna mechi zaidi ya kumi huna assist wala goli
Psg hajawahi kutumia 4 2 3 1.Huyo hana formation maalumu, hizo zote nilizozitaja alishawahi kuzitumia aidha Dotmund au PSG
Malengo ya msimu huu ilikuwa ni kuchallange ubingwa na si kuitafuta top 4Mimi nilipenda Lampard angevumiliwa hadi mwisho wa msimu na kama katupa top 4 au UEFA apewe msimu mwingine ili azoee EPL ila pia FL kufukuzwa ilikuwa ni lazima, kocha ukishaingia kwenye mgogoro na wachezaji usio na tija na timu hakuna njia nyingine ni sacking tu.