kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,191
- 15,917
Kwa mwendo huu soon arsenal watawapita !!! Mmespend more than 200m pounds for nothing!!! 





Kai
Werner
Hakim
Chilwel
Mendy
Thiago






Kai
Werner
Hakim
Chilwel
Mendy
Thiago







Bora Chiliwel na hakin they ..atleast they do nothing ..hawa wengine the dont even do a nothingKwa mwendo huu soon arsenal watawapita !!! Mmespend more than 200m pounds for nothing!!!
Kai
Werner
Hakim
Chilwel
Mendy
Thiago






































Na wanavyojua kukera ndezi wale, Dah.Bado points 2 tu asenane awafikie sijui mtaweka wapi sura zenu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mnavyopiga kelele,kwenye majukwaa ya watu mwangaliege na ubora wa timu yenu.
LAMPARD MITANO TENANjia pekee ya kuokoa huu msim nikumtimua lampard asap kabla ya gap kati yetu na wajuu halijawa kubwa.
Akiendelea kuwepo huyu hata top 4 hatutomaliza naona tutamaliza wa 10 huko
Lampard ndio kocha mbovu kuwahi kufundisha hii tim katika zama hizi za abramovich, ni bora wakina AVB n Di matteo kuliko huyu
Tunacheza mpira mbovu kuliko hata wamsim uliopita, msim uliopita tumecheza mpira mzuri na matumain msim huu ya kawepo kutokana na hali iliyoonekana msimu uliopita cha ajabu sasa tunacheza mpira mbovu kuliko hata wa msim uliopita
Pia kuna jamaa anaitwa Malang Sarr. Huyu naye alisajiliwa batch ya wakina Werner.Kwa mwendo huu soon arsenal watawapita !!! Mmespend more than 200m pounds for nothing!!!
Kai
Werner
Hakim
Chilwel
Mendy
Thiago