Umeserma kweli na tunao wachezaji wenye kuweza hivyo. mimi naona Lampard ni rigid hata kuliko Sari. Mbinu zenye kuleta matokeo ya haraka haraka huwa ni counter attack, ila Chelsea hiyo wameshasahau tangu enzi za Conte. Mfano Werner ni mzuri sana kwenye Counter na magoli yake mengi alikuwa akifunga kwa njia hio. Hata akina Giroud na Tammy wanaweza kufunga kwa counter. Penetration passes katikati ni approach nyingine unayosema wewe ila haitumiki tena bora hata Sarri alikuwa akiitumia kidogo. Long balls ni approach nyingine yenye kuleta magoli ya haraka haraka nayo haitumiki. Ilitumiwa na Jo mara moja dhidi ya Werner mwanzoni mwa msimu na pia mwak jana dhidi ya Tammy lakini sasa hakuna. Ziko mbinu nyingi na wachezaji wetu wanaziweza karibu zote lakini Lampard amekuwa rigid kwenye short passes za side ways na backwardsNaomba nikuulize swali lembu
Kwanini timu yetu inatumia mbinu moja tuu ya kufunga mabao ambayo ni mipira ya cross kutoka pembeni? Ziyech, Chilwell, James, Odoi, Azipu
Ina maana hatuwezi Kutengeneza mabao kupitia katikati?
Sasa hao watu wanaopiga cross mfano Ziyech akirudi tena majeruhi hatutafunga magoli?
Mi nadhani tucheze style tofauti tofauti za kutengeneza mabao tumshambulie adui kote kote (kushoto, katikati na kulia).
Hii ya kutegemea cross tuu ni mbinu hatarishi haitafanya kazi kila siku.
Harvetz alazimishwe kucheza hata kama ni kwa fimbo azoee ligi kwa nguvu zote, ili tupate ubunifu kutokea katikati, tulimsajili ili kuboresha ubinifu pale katikati.
Kumuweka bechi ni kuchezea pesa na kipaji na ni aibu kurudi tena sokoni kumsajili CAM
4-2-3-1
----------------- WERNER ----------------
Pulisic ------- Harvetz ---- Ziyech
Mi nadhani kwa hali ilivyo LAMPARD ajitoe muhanga. Atengeneze 1st eleven ya mfumo rasmi 4231 panga pangua usibadilike, labda zitokee injuries
----------------- WERNER ----------------
Pulisic ------- Harvetz ------- Ziyech
------------ Kante -------Jognho -----
Chilwell - Thiago - Zouma - James
SUB:- Giroud, Odoi, Mount, Gilmour, Azipu, Ermason, Kovacic, Abraham
Halafu awape morale ya kufa mtu kama kocha CONTE. Morale ianzie kutoka uwanja mazoezi.
Nimegundua njia nzuri ya kupunguza stress za kufungwa
Nimeamua kuanza kucheza BETING
Leo nimeanza na M-BET.CO.TZ
Mkiniona nafurahia Manure kushinda sina mapenzi na hako katimu ila ni mshiko nitakaoupata
Manure msiniangushe leo
Mbona fresh tu na soka linatandazwaKlopp bonge la kocha kuwapanga Fabinho na Hendo mabeki wa kati na wanamudu vizuri nafasi hizo sio jambo jepesi.
Navuta picha ingekuwa sisi umpange Joginho beki wa kati![]()
Tusipoteze pesa bure, hawa tulionao tumewatumiajeTwende na 4132
-----------Werner ---- Halland ----------
Pulisic ---------Harvetz------------Ziyech
--------------------- Kante -----------------
Chilwell Thiago Zouma James View attachment 1680441
Kama kocha bado ni Lampard hata huyo Halland bado ataflop.Twende na 4132
-----------Werner ---- Halland ----------
Pulisic ---------Harvetz------------Ziyech
--------------------- Kante -----------------
Chilwell Thiago Zouma James View attachment 1680441
Kweli kocha mpuuuz aside asipewe pesa atachezeaTusipoteze pesa bure, hawa tulionao tumewatumiaje
Kwa lampard hata akija haland hato improve chochoteTwende na 4132
-----------Werner ---- Halland ----------
Pulisic ---------Harvetz------------Ziyech
--------------------- Kante -----------------
Chilwell Thiago Zouma James View attachment 1680441
Beki ya kati ukiwa mfupi ni changamoto kubwa sana...Hivi ni vyema kutumia neno "OFLOAD TOMORI", kijana wa miaka 22 na mshahara wake mdogo kweli LAMAPRD Simuelewi, kesho tutakuja kutaka kumnunua Tomori kwa Paundi mil 75 kama tunavyofanya kwa Declan Rice
Lampard explains decision to offload Tomori as Chelsea defender nears AC Milan loan
Lampard amekiri mchakato wa kumtoa Tomori AC Milan kwa mkopo na baadaye kuuzwa uko kwenye hatua za mwishoni
Hizi ni dharau kwa hallandTwende na 4132
-----------Werner ---- Halland ----------
Pulisic ---------Harvetz------------Ziyech
--------------------- Kante -----------------
Chilwell Thiago Zouma James View attachment 1680441
Ufupi sio sababu, Tomori hana ufupi ukimlinganisha na Carles Puyol wa Barca enzi zakeBeki ya kati ukiwa mfupi ni changamoto kubwa sana...
Hii ndio sababu ya kumuondoa tomori... Hata ww ungekuwa kocha ungemuuza tomori