Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ngoja tusaidie kutuma kikosi
IMG_20210119_222508.jpg


Lampad anataka kuaminisha dunia katika nguvu za Giza akipata ushindi kwa kikosi hiki
 
Timo Werner kala mkeka.

Kai kawekwa pembeni.

Ziyech kala mkeka.

Kante hayupo.

Formation 4 3 3.

Mpaka break kama hamjawafunga basi kipindi cha pili mnakufa.
 
Boss alishamuamini Frank lampard, kama makonda vile alivyoaminiwa
Lakin watakuja washabik maandaz wa maji matitu ata soksi OG za timu hanunui ili kukuza pato, watakuambia lampard atimuliwe

Lampad mikumi tena
 
ata sijui niseme nini, hivi mulisema mkishinda mechi ngapi mnakaa pale juu??
 
Tatizo la timu yetu ni nini naona wachezaji wanacheza kwa kuridhika utafikiri wao ndio wanaongoza. Kweli Lamps aondoke tu yaani kupandisha morale ya timu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom