Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Labda Boss Abraham anadhani Lampard anaweza kuinufaisha Chelsea fc kupewa nafasi ya upendeleo kwa marefa inapocheza wakijua kuwa Muingereza ndiye anayeikochi Chelsea tokana na sababu za ugomvi wa UK & RUSSIA

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Hamna kitu, makombe ni mengi kuna UEFA epl yenyewe huwezi kushinda na team mlendamlenda hivi..
 
11-11 huwezi mfunga Fulham
Kweli Chelsea ni UOZO jamani
Fulam hii hii ndio iliyotoa droo na ninyi, Fulam hii hii ndio iliyotoa droo na Spurs, Fulam hii hii ndio iliyowafunga Leicester City 2-1. Fulam hii hiii ndio itakayowanyuka next Manure ya akina Magwaya
 
Natabiri mechi ijayo na Leicester City, Werner na Mount na Pulisic watakuwa kwenye score sheet, tutashinda 3-1
IN LAMPARD WER TRUST
 
Watu wa Chelsea kwa kujua kupanua vinywa dhidi ya lampard hamjambo wakati ukipewa timu kama norwich inayoongoza huko championship uipandishe daraja hutaweza
 
Watu wa Chelsea kwa kujua kupanua vinywa dhidi ya lampard hamjambo wakati ukipewa timu kama norwich inayoongoza huko championship uipandishe daraja hutaweza
Hajawahi kuifundisha team inayoitwa Norwich
 
Natabiri mechi ijayo na Leicester City, Werner na Mount na Pulisic watakuwa kwenye score sheet, tutashinda 3-1
IN LAMPARD WER TRUST
We Jamaa umeiba wapi vipaji vya kutabiri matokeo ya mechi, au siku hizi unabeti? hata hivyo itoshe kusema kusema kuwa kuwa mtabiri kama Nabii Tito ni ugonjwa mwingine wa akili.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Watu wa Chelsea kwa kujua kupanua vinywa dhidi ya lampard hamjambo wakati ukipewa timu kama norwich inayoongoza huko championship uipandishe daraja hutaweza
Mchukue mjomba wako Lampard mkaukochi ukoo wenu ila si kutujazia misongo ya mawazo, unadhani Chelsea ni timu ndogo au utopolo kama Simba/Manyau nyau fc?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Majogoo ya Anfield yanakimbia tena na EPL!
Nani sasa hayaogopi majogoo?
 
Chelsea fc under LAMPARD tunaendelea kuongeza list ya flop players

1. Werner
2. Harvetz
3. Kante
4. Pulisic
5. Kovacic

Joginho
Ermason
Alonso
Keppa
Azipu
Barkley
Drink water
Batshuayi
LFC
Rudger
Bakayoko

Kocha mpya anahitajika kupandisha viwango vya wachezaji, la sivyo tutaendelea kumwaga mapesa mengi kufanya usajili wa kureplace flop players na hao watakaosajiliwa wataongeza list ya flop players

Kwa wachezaji tulionao hakuna ulazima wowote wa kufanya usajili mpya. Viwango vya wachezaji viboreshwe.
Usijali, Lampard asipotupa top 4 au UEFA, msimu ujao kibarua hakuna
Source: Chelsea Internal Intelligence Team
 
We Jamaa umeiba wapi vipaji vya kutabiri matokeo ya mechi, au siku hizi unabeti? hata hivyo itoshe kusema kusema kuwa kuwa mtabiri kama Nabii Tito ni ugonjwa mwingine wa akili.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Tatizo la mashabiki timu inapofanya vibaya wanaanza kukasirikiana wenyewe kwa wenyewe. Lampard anafanya vibaya sawa ila pia ni mgeni ndio anajifunza. asipotupa top 4 au UEFA, msimu ujao nje hiyo haina tena ubishi. Sasa iliyobaki tumvumilie tu, na njia rahisi ya kumvumilia ni kubet na kutabiri
 
Ziyech ilimchukua mechi tatu hadi nne hivi kuanza kuonyesha makali aliporudi kutoka majeruhi. Hii ni mechi yake ya pili tangu arudi majeruhi tena. Naamini mechi ijayo au ile nyingine asipopata majeruhi tutaanza kupata magoli na assists kutoka kwa Ziyech ambaye ndio tegemeo pekee kule mbele
 
Fulham kumfunga Man united hizo ni ndoto.
Ngoja tuonyeshe mfano kwa Livakuku leo ndio utaamini.
Leo Livakuku anapakuliwa bao 2 bila.
Fulam hii hii ndio iliyotoa droo na ninyi, Fulam hii hii ndio iliyotoa droo na Spurs, Fulam hii hii ndio iliyowafunga Leicester City 2-1. Fulam hii hiii ndio itakayowanyuka next Manure ya akina Magwaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom