Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Fulham RED card

Tushinde sasa
Lampard siyo coach aisei, tactically yuko hovyo mno, team psychologically iko down ameshindwa kujenga timu yenye tabia ya kupenda kushinda si kucheza mechi.

Reaction ya wachezaji wa Chelsea wakipata mpira ni duni mno. Mtu apiga pasi bila ata kukabwa eti afu ile tabia ya timu kulazimisha magoli hatuna.

Generally kocha kashindwa vibaya hii timu, unawachezaji vijana wanacheza mpira wa KIZEE tupu hamna pasi si wepesi kujiposition na kupiga pasi fupifupi team gani hii..?

Wachezaji goigoi tupu. At least MASON MOUNT basi.
 
Fulham ipo nafasi ya 17, ina red card toka dk ya 44 lakini mmekata mauno mmekuja kufunga dakika ya 78! Mna matatizo gani nyie?
 
Tumeshinda ila hii tim ni kubwa kwa lampard
Nilikuwa na mtetea lampard ila kadri siku zinavyozidi kwenda hatuna mpira maalum tunaocheza

Kitu cha kuinusuru hii tim ili iwe inaweza kugombania ubingwa ni kumtimua lampard tu tofauti na hivyo itatumia hela nyingi kwenye usajili ila matokeo uwanjan yatakuwa ya kubahatisha hata tutakapokutana na magiant tutakuwa tunapigwa

Lampard hajui anafanya nini na ukiskia post n pree conference utaskia tu apewe muda blah blah nyingi

Kama kweli tunataka kuwa mabingwa lampard inabidi aondoke tofauti na hivyo tutaendelea kuwa tunapigania top 4 tu ila ubingwa tutauskilizia kwenye tundu la sindano
 
Lampard hana ubora wowote kuipa Chelsea, timu ni bora kuliko yeye. Ananufaika na timu kuliko timu inavyotakiwa kunufaika kwa ujumla timu ina mkochi badala ya yeye kuikochi.
 
Timo Werner ni upgrade ya morata wa Chelsea
IMG_20210116_225127_593.jpg

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Lampard hana ubora wowote kuipa Chelsea, timu ni bora kuliko yeye. Ananufaika na timu kuliko timu inavyotakiwa kunufaika kwa ujumla timu ina mkochi badala ya yeye kuikochi.
Ukiangalia msimu tunavyocheza tunacheza hovyo kuliko hata msim uliopita
Msim uliopita atleast kuna kitu kilikuwa kinaonekana ila msim huu hakuna kitu yan tuna ruka ruka tu utasema mazoezini huwa anaenda kuchukua maudhurio
 
Lampard kichwa maji hana mbinu yeyote ya kuifundisha Chelsea au kumwezesha kushinda game yeyote ngumu. Kiujumla sijui UVUMILIVU tunaupata wapi kubaki naye.
 
Daagh n unahitajika uvumilivu kwelikweli😂 shida tunayo
 
Daagh n unahitajika uvumilivu kwelikweli shida tunayo
Sikwenda kabisa kuangalia mpira leo hii maana nilishajikatia tamaa na Lampard kujificha ktk kumiliki ball possession nyuma na katikati ya uwanja ilihalia mbele ni 0 kiufungaji na hata kimikakati ya kutafuta magoli

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Natabiri kuanzia Januari timu itarudi kwenye mkondo wa ushindi, ile nuksi ya akina Havertz, Werner, Mount kutofunga imetoweka hata kama iliyofungwa ni timu ndogo
Nakushauri kesho asubuhi na mapema tukiamka salama/Mungu akipenda wahi siti yako ya mbele kabisa pale MLOGANZILA HOSPITAL ukatibiwe matatizo ya akili.

NB: Ni ushauri tu Chifu.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Lampard kichwa maji hana mbinu yeyote ya kuifundisha Chelsea au kumwezesha kushinda game yeyote ngumu. Kiujumla sijui UVUMILIVU tunaupata wapi kubaki naye.
Labda Boss Abraham anadhani Lampard anaweza kuinufaisha Chelsea fc kupewa nafasi ya upendeleo kwa marefa inapocheza wakijua kuwa Muingereza ndiye anayeikochi Chelsea tokana na sababu za ugomvi wa UK & RUSSIA

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom