Na uwezo wa kocha pia ni mdogo.Kinachomkwamisha pulisic ni injury zake, yeye na muhimbili ni kucha na kidole
Na uwezo wa kocha pia ni mdogo.Kinachomkwamisha pulisic ni injury zake, yeye na muhimbili ni kucha na kidole
Daah afadhari Mana nilijua tunaweza kupewa man CityFA Fourth Round draw live
Liverpool vs Man U
Chelsea vs Luton Town
Tutakutana nao tu huko mbele.Daah afadhari Mana nilijua tunaweza kupewa man City
Daah afadhari Mana nilijua tunaweza kupewa man City
Hatutaki tukutane kipindi hiki ambacho form yetu ipo chini ndio hofu yake sio kwamba ataki asikutane kabisaHuwezi ukawa bingwa kama unaogopa kukutana na wakubwa wenzako
Huwezi ukawa bingwa kama unaogopa kukutana na wakubwa wenzako
Saiz hatuko sawa ila muda unavyoenda tukikaa sawa hakuna shidaHuwezi ukawa bingwa kama unaogopa kukutana na wakubwa wenzako
Saiz hatuko sawa ila muda unavyoenda tukikaa sawa hakuna shida
Huioni Manchester United hapo? Au ndio jeuri?Timu kubwa iko wapi sasa hapa!
Hatuwezi kukaa sawa kama kocha bado ni lampard.Saiz hatuko sawa ila muda unavyoenda tukikaa sawa hakuna shida
Kukutana nao mapema ni nuksi, kama huamini subiri kitakachowatokea na Manure. Mkubwa mwenzako unatakiwa kukutana nae rono au nusu au finali kabisa huko tutakuwa tumejiandaa kula nyoronyoro kwanzaHuwezi ukawa bingwa kama unaogopa kukutana na wakubwa wenzako
Saiz hatuko sawa ngoja tuchaji ndio tuanze kushindanaKwa hiyo ubakubali kabisa kuwa kwa sasa mnayaogopa mno majogoo?
Kwanini kiwatokee Manchester United tu?Kukutana nao mapema ni nuksi, kama huamini subiri kitakachowatokea na Manure. Mkubwa mwenzako unatakiwa kukutana nae rono au nusu au finali kabisa huko tutakuwa tumejiandaa kula nyoronyoro kwanza
Washikieni wakubwa hiyo nafasi, nyie ni wabeba mikoba tuMunahabari kua Manchester United anaongoza ligi huko?
Au muna lialia nyau tu?
Amuondowe kabisa sio kimuongezea nguvu huyu lampard hana mbini za mpira kwa kiwango cha Chelsea, anaua vipaji vya wachezaji, Imagine paka sasa hivi Chelsea haina star wakutegemea! wachezaji wote wako average, na hatuna winning team Best 11. Kochi gani huyu? hata kama ni muingereza amondowe tu.Chelsea owner Roman Abramovich is considering a move to bring former manager Avram Grant back to Stamford Bridge to join Frank Lampard's backroom team.
— Sky Sports News (@SkySportsNews) January 12, 2021
View attachment 1676079