Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampard said
"If there are players that don’t have that concern to get out of bad results then they have decisions to make. If there are opportunities for them to leave it will have to be right for them, right for the club, for myself and the club then that can happen. If not then we keep fighting."
 
Lampard confirms Kante injury blow as he weighs up possible academy debuts against Morecambe

Rowe #10 kai #10
Rowe mmoja sawa sawa na tipa mbili za kai

Saka #7 na pia ni kilaka Ziyech #7 sio kilaka
Saka mmoja sawa sawa na ziyech buku

Nketia #9 Werner #9
Hawa viwango wapo sawa

Arteta head coach lampard head coach
Kichwa kimoja cha arteta = vichwa 9.5 vya lampard

Kesho mnashinda, kupunguzwa machungu kwenye ligi ndio tutaoneshana makali
 
Mshaanza utoto tayari...
 
Kipindi mna loose ulikuwa wapi kutoa hizi hesabu🤔
 
Fa cup
XI vs morecambe
Kepa
Azp zouma rudiger emerson
Mount gilmour havertz
Ziyech werner odoi
 
Fa cup
XI vs morecambe
Kepa
Azp zouma rudiger emerson
Mount gilmour havertz
Ziyech werner odoi
Rudiger bado anajisahau na kucheza out of position, Mbele bado butu sana, ingekuwa ni EPL team tungekuwa bado tunasota kutafuta goli. Werner hana confidence kiasi kwamba hata pasi zake sasa ni za hovyo
Cha ajabu Mount hana mashuti makali lakini bado anafunga nje ya mita 25, angekuwa na mashuti kama ya Madison au Havey Barnes wa Leicester city sijui itakuwaje
 
Kai harvets hatujapigwa aisee ni swala la muda tu dogo yuko vizuri alivotoka mount ndio nimemuona kumbe dogo hapewi heshima anyao stahili
 
Mashabiki wa chelshiti yani mmejiokotea kibonde Leo Basi ishakua tabu mtaani

Uyo Kai na Werner mmepigwa hamna mjadala katika hili.
 
Adjustments.jpg
 
Mzee hao wote pulisic na Werner si wanapangwa winger...
No. 10 huwa ndio position ipi ndg. Mimi kwa ufahamu wangu no. 10 ni wide winger na Pulisic pamoja na Werner huwa wanacheza hiyo namba ambayo ndio Hazard alikuwa akicheza. Na kwa ufahamu wangu mdogo wa Football najua kuwa Mason Mount anacheza na. 8 ambayo ndio Lampard alikuwa akicheza. Na. 8 kwa formation nyingi ikiwemo 4-3-3 ni Attacking MF inayochezwa kutokea kushoto
 
Aiseee
 
Morecambe = Daraja la kuinua ujasiri kwa wachezaji wa Chelsea hasa hawa wafuatao
  1. Havertz mechi 15 bila goli, jana kapata goli moja na assists moja
  2. Werner mechi 13 bila goli, jana kapata goli
  3. Mount mechi 11 bila goli, Kafunga goli zuri la mita 25
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom