Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Makosa Lampard anayofanya kushindwa kumtumia Werner
Werner hana uwezo wa kucheza kama wide winga
Pia Werner hana uwezo wa kucheza kama No. 9 pekee
Kule Lepzig alitumiak mara nyingi kama Duo striker kwenye formation ya 4-4-2 na ndio formation inayomfaa kutokana na tactical capabilities zake

Ila huu mfumo haumfai kabisa Kai Havertz ambaye yeye anacheza vizuri kwenye mfumo unatumia CAM
Kwa sababu 4-3-3 haimfai Werner wala Kai, Kocha azoee kutumia aidha 4-4-2 au 4-2-1-2 au 5-3-2 au 3-5-2. Lengo ni Werner na Tammy au Giroud wacheze kama strikers

Formation nyingine inayoweza kusaidia ni 4-2-3-1 ambapo Kai watashirikiana na Werner kwenye kusaka magoli kule mbele, werner akicheza kama Striker na Kai kama CAM

Lampard anayo kazi kweli kweli
 
Premier League for most big chances missed this season

1. Patrick Bamford (Leeds United) - 12
1. Chris Wood (Burnley) - 12
2. Ollie Watkins (Aston Villa) - 10
3. Dominic Calvert-Lewin - 8
3. Timo Werner (Chelsea) - 8
4. Marcus Rashford (Manchester United) - 7
4. Oliver McBurnie (Sheffield United) - 7
4. Sadio Mane (Liverpool) - 7
4. Roberto Firmino (Liverpool) - 7
4. Che Adams (Southampton) - 7
 
Mkimleta kocha mwingine atahitaji muda for Reformation
Bora muendelee na lampard ambae yupo hatua za mwisho Chelsea kuwa invisible

Pia kocha mpya kutaka baadhi ya sajiri, coz kila kocha ana falsafa zake na mbinu zake
Anaweza akamkataa kai au Werner,

Mtu kama ollachugu ana comments kijinga kijinga ata team ya jumuiya hajawai ku-manage
 
Kinachochekesha zaidi Mason Mount amecheza mechi nyingi sana kumzidi Kai Harvetz mnayemuita Flop lakini bado Kai amemzidi assists!!

Huyo mtoto hajui kupandisha mashambulizi, kazi yake kupiga square pass tuu , hajui kupiga pasi za mwisho, through balls ndio hajapiga hatamoja msimu huu, hivi kwanini anaanza game zote?

Kazi ya kiungo mshambuliaji ni nini katika mfumo wa Lampard kama mchezaji hajapiga through ball hata moja mpaka sasa! Huku assists zake nyingi zinatokana na mipira ya Kona ..

Lampard sio kocha at all
 
Mason Mount ana offer vitu vingi Sana kuliko kua na assist tu kwa mimi Kati ya wachezaji wanaojituma kwa saizi pale kwetu basi siwezi kumuacha mount labda na kaka thiago na ben wengine wote Bado sijaona
Mount ana kaba anarudi chini pia anapandiaha timu ingawa kwenye assist tu anatakiwa ku ongeza juhudi tu ila ni mchezaji mzuri Sana pia ndio msimu wake wa pili Sasa full kwenye timu tiendelee jumla nafasi apate uzoefu zaidi

Ila kwa kai naona kabisa tumepigwa basi tu mtoto raini Sana yule kama mpemba vile yani
 
Hapo ndipo ninapoanza kuwashangaa..

Mason Mount anacheza kama namba 10 almost mechi zote na kimsingi hana uwezo wa kupiga assists au through balls, nitajie wewe kazi ya kiungo namba 10 ni ipi kama mchezaji hawezi kutoa assists wala kucreate chances !!

Hivi ulishawahi kusikia kiungo namba 10 anasifiwa kukaba!! Kama Mason Mount mnamsifia kwa kukaba kazi ya Ngolo kante ni ipi sasa wakuu!!
 
Kai Harvetz anakuwa sacrificed anachezeshwa namba ambayo hajazoea ili Mason Mount acheze namba 10 ambayo haitendei haki hata kwa asilimia 40.

Siku akija kocha ( sio msimamizi wa mazoezi) , lazima Kai Harvetz atachezeshwa namba 10 na sio 8 au winger anayowekwa na Lampard kichaa.
 
Mkimleta kocha mwingine atahitaji muda for Reformation
Bora muendelee na lampard ambae yupo hatua za mwisho Chelsea kuwa invisible

Pia kocha mpya kutaka baadhi ya sajiri, coz kila kocha ana falsafa zake na mbinu zake
Anaweza akamkataa kai au Werner,

Mtu kama ollachugu ana comments kijinga kijinga ata team ya jumuiya hajawai ku-manage
Hahahaha unasemaje mkuu
 
Kinachochekesha zaidi Mason Mount amecheza mechi nyingi sana kumzidi Kai Harvetz mnayemuita Flop lakini bado Kai amemzidi assists!!

Huyo mtoto hajui kupandisha mashambulizi, kazi yake kupiga square pass tuu , hajui kupiga pasi za mwisho, through balls ndio hajapiga hatamoja msimu huu, hivi kwanini anaanza game zote?

Kazi ya kiungo mshambuliaji ni nini katika mfumo wa Lampard kama mchezaji hajapiga through ball hata moja mpaka sasa! Huku assists zake nyingi zinatokana na mipira ya Kona ..

Lampard sio kocha at all
Mount ni mchezaji mzuri lakini anahitaji muda.

Mfano mzuri kwa Foden jinsi Guadiola anavyomtumia
Young player needs mpaka awe regular kwenye kikosi.

Anachokosea Lampard ni kumpa majukumu mazito Mount.
Hajui kama inaathiri kiwango chake kama unakumbuka mwanzoni alikuwa anafunga sana na assist ila kutokana na kuchezeshwa mechi nyingi imemfanya kupunguza ubunifu.
 
Hapo ndipo ninapoanza kuwashangaa..

Mason Mount anacheza kama namba 10 almost mechi zote na kimsingi hana uwezo wa kupiga assists au through balls, nitajie wewe kazi ya kiungo namba 10 ni ipi kama mchezaji hawezi kutoa assists wala kucreate chances !!

Hivi ulishawahi kusikia kiungo namba 10 anasifiwa kukaba!! Kama Mason Mount mnamsifia kwa kukaba kazi ya Ngolo kante ni ipi sasa wakuu!!
Tangu lini Mount kacheza no. 10? na Pulisic au Werner anacheza namba ipi?
 
Bosz aeleza kwanini Hakim Ziyech anafanikiwa EPL wakati Havertz anashindwa kuwaka

Pressed on why the Morocco international is succeeding where others have failed, Bosz added: “Kai plays the piano, but Hakim is from the streets.

“If there’s a free kick, he will just walk up and take it. He’s like that.”
 
Westham wanaweza kumpoteza bure rice wakikataa ofa ya Chelsea msimu ujao wa kiangazi​

‘Rice could leave on a free amid Chelsea talk’ – Cottee wants new contract for in-demand West Ham star​

Similar Discussions

Back
Top Bottom