Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii sasa ndio ilikuwa chelsea kali kuliko zote maana tukiacha unafki kwakweli hii ilikuwa timu yenu bora kabisa
Lampard kawavurugia sana,
 
Pira birian
Pira kashata
Pira chatne
Pira bagia
Pira kachori
Pira sambusa
Pira katres





Kudadadeki
 
Sisi Man City tunakuja kuvunja daraja na kulipua Stanford Bridge yote kwa mabomu ya nyukilia


Jpili hiyo
 
insta_2474333411611780761.jpeg
 
mwezi wa 12 na January sio wa kumtukana mamba kabla hujavuka mto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom