Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,079
- 12,319
Kama hivyo basi haina shaka, endelea kugombea nafasi ya 4 na kina Leicester city.
Nyie mnaotaka ubingwa ndio mnateseka, malengo yetu msimu huu tumalize TOP 4 na sio kuchukua ubingwa. Hata Lampard awe mbovu namna gani atamaliza top 4.
Tufungwe na Top 6 wote, Top 4 tutamaliza tuu.
EPL 20/21
1. ...............
2..................
3..................
4. Chelsea fc
