Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kila la kheri Aston Villa


Nenden mkavunje daraja Kama bwana alivowatuma


Amina
 
Hiki kikosi cha Villa nina imani na Martinez kuliko wote.

Babu yenu thiago kala mkeka.

Mna asilimia 40 za kushinda kwa kumuweka Kante pembeni. 15 suluhu na 45 kupigwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom