hazard chel
Member
- Aug 14, 2018
- 15
- 84
[emoji23][emoji23] Mkuu mi nilishasema kuna watu wakikosa content kisoka wanatoka off pitch...Its funnyMnachobishana sijaona tija yake, wabongo bana, wenzenu wanapiga hela ndefu maisha yanasonga mbele wewe hata hela ya kula huna umekaa kutaja mara ooo fulham, mara oooo abramovic. Hizo historia waachie wenyewe, hiyo timu unayoishabikia ambayo inamiliki uwanja na wachezaji wewe unafaidikaje ? Cha msingi shabikia timu unayoipenda hayo mengine waachie wazungu ww hayakusaidii
Werner huenda akawa amechoka naye....back to back games za international na ligi huenda zimemfanya exhausted....angepaswa apumzishwe km kina kante 1st halfKwa upnd wang match ya Leo kipind cha kwanz tumcheza ovyo sana
Wachezaji kupoteza pass kizembe sana
Then second half timmo Werner hkuwa clinical kabisaa anapoteza umakini mbele ya goli
Azpi pumzi zmeanz kukta anchok mpema
Then jorginho stail yake inatuumiza sana
Giroud needs more minutes to play
All in all muhimu ushindi
Next game with spurs
@aaaaaaahhhhb, kwahiyo ground lenu likiwa vikindu timu mtaiita jina gani? Kamegele fc, au ubuguyu sc?Tumekubaliana Jmos tukutane vikindu tukafyeke ili greda lije kuanza kazi. Pia kutakua na kazi yakuchimba msingi ili kujenga hostel za kina Kai na Odoi. Mje na nyengo na majembe
Jipya unaliona sema unajitoa fahamu, mwenzako kashauri mkafyeke vikindu huko...[emoji23][emoji23][emoji23] Unatembea mulemule mkuu, sioni content mpya
Akili kisoda wwMKODISHO FC [emoji13][emoji13][emoji13]
Chelsea tunaposhinda wala husikii mikeke na majigambo watu tumetulia kimyaa, ni timu ya wastaarabu. Ingekua ni wale jamaa zetu daaa, sipati picha,
Jipya unaliona sema unajitoa fahamu, mwenzako kashauri mkafyeke vikindu huko...
Kisha mjadiliane jina la timu
Haahaaaa Acha tu mzee wengine wanajipa mpaka na ubingwaChelsea tunaposhinda wala husikii mikeke na majigambo watu tumetulia kimyaa, ni timu ya wastaarabu. Ingekua ni wale jamaa zetu daaa, sipati picha,
Wewe ulivyo mweupe nikiweka hoja unaweza kuisoma?Tatizo huna hoja
Kwa maneno ya kanga hujambo, hiyo akili ungeipeleka kwenye ujasiriamali ingekusaidia sanaTatizo munafunga vibonde, sasa utashangilia je?
Siku ukibahatika kuifunga timu kubwa kama Manchester United, lazima ukeshe ukishangilia.
UKWELI KUHUSU UWANJA WA STANFORD BRIDGE NA JINA LA CHELSEA. TAARIFA ZAIDI YA HII NI UMBOEA WA BONGO
Wambea wa BONGO BANA WANELEZEA VITU HATA VILE VYA KISHERIA KAMA WAKULIMA WA TURIANI
Kisheria jina likishasajiliwa mmiliki ni huyo anayeown kampuni, hizo stori zingine ni bulshit
Mmiliki wa uwanja wa Stanford Bridge ni non profit company inayomilikiwa na Chelsea PLC ambayo imepewa wajibu wa kusimamia hicho kiwanja, haya ni masuala ya sheria za makampuni na uendeshaji wa biashara, mtu asiye na hii elimu atapotosha tu
Maelezo zaidi kama hujui sheria na kiingereza pita kushoto
...............................................................................X.....................................................................X...............................................................................X.....................................................................
Chelsea FC PLC is the company which owns Chelsea Football Club. The ultimate parent company of Chelsea FC plc is Fordstam Limited and the ultimate controlling party of Fordstam Limited is Roman Abramovich.
Chelsea Pitch Owners plc is a nonprofit organization which is part of Chelsea Football Club, tasked with the upkeep of the stadium. It owns both the freehold of the Stamford Bridge stadium and the naming rights of Chelsea Football Club.
Hao ni mashabiki wa Liverpool, wewe ndio hujui mloloteWewe endelea kugoogle na kuzunguka Mbuyu kujificha kwenye kichaka cha msamiati wa Sheria lakini Summary ya uliyoyaandika ni Hii.
• Chelsea Football Club - Mmiliki wake ni Abramovic.
• Stamford Bridge haimilikiwi na Roman Abramovich wala Chelsea Football Club. Instead, the freehold of the ground and the naming rights of the stadium vinamilikiwa na Chelsea Pitch Owners PLC (CPO).
- Je ni nani hao CPO (Chelsea Pitch Owners?)
Jibu fungua Link ya Official website yao hapa Chini 👇uone kama tunawadanganya Watu au wewe ndiye unayetaka kuwaaminisha Watu usichokijua.
Kwenye hiyo Website yao kuna maneno haya 👉 "Chelsea Football Club is not responsible for the content on the Chelsea Pitch Owners website" Sasa jiulize kwanini wamejitenganisha na Chelsea FC kwenye maudhui yao wanayopost mtandaoni? Kwanini wawe na Website yao binafsi badala ya kutumia ile ya Timu? Huoni kuwa ni Organization inayojitegemea?
Kwa Taarifa yako Uwanja mumekodishwa kwa miaka 199.
Na hao CPO uliohadaika na neno "PART OF THE CHELSEA FOOTBALL CLUB" unajua maana ya maneno hayo?
Maana yake wao ni Washabiki/Member wa Chelsea! Lakini hawana ushirika wowote na Chelsea FC katika umiliki wala hawana hisia pamoja na Abramovic.
Wao CPO wana hisa zao mbali ambazo ni 21,000 ambazo si za kibiashara.
Kujitendanisha na Chelsea kwa sababu CPO ni independednt institution ndani ya compuni8 kubwa moja inayoitwa Chelsea PLC, Hata kama mmiliki ni mmoja mambo ya organization management kama umesoma vizuri we mkulima wa turiani, taasisi ikikomaa au kuwa kubwa ili kuondoa complexity kwenye management inafanywa kuwa independent kiutawala except kwenye ownership. Kisheria inashitakiwa kivywake na inashitaki kivyake. Kuwa part of Chelsea PLC ni evidence kuwa inamilikiwa na Chelsea FCWewe endelea kugoogle na kuzunguka Mbuyu kujificha kwenye kichaka cha msamiati wa Sheria lakini Summary ya uliyoyaandika ni Hii.
• Chelsea Football Club - Mmiliki wake ni Abramovic.
• Stamford Bridge haimilikiwi na Roman Abramovich wala Chelsea Football Club. Instead, the freehold of the ground and the naming rights of the stadium vinamilikiwa na Chelsea Pitch Owners PLC (CPO).
- Je ni nani hao CPO (Chelsea Pitch Owners?)
Jibu fungua Link ya Official website yao hapa Chini 👇uone kama tunawadanganya Watu au wewe ndiye unayetaka kuwaaminisha Watu usichokijua.
Kwenye hiyo Website yao kuna maneno haya 👉 "Chelsea Football Club is not responsible for the content on the Chelsea Pitch Owners website" Sasa jiulize kwanini wamejitenganisha na Chelsea FC kwenye maudhui yao wanayopost mtandaoni? Kwanini wawe na Website yao binafsi badala ya kutumia ile ya Timu? Huoni kuwa ni Organization inayojitegemea?
Kwa Taarifa yako Uwanja mumekodishwa kwa miaka 199.
Na hao CPO uliohadaika na neno "PART OF THE CHELSEA FOOTBALL CLUB" unajua maana ya maneno hayo?
Maana yake wao ni Washabiki/Member wa Chelsea! Lakini hawana ushirika wowote na Chelsea FC katika umiliki wala hawana hisia pamoja na Abramovic.
Wao CPO wana hisa zao mbali ambazo ni 21,000 ambazo si za kibiashara.
Naomba ukawadanganye kule Liverpool fans wenzako wasioelewa, huku tumekushtukia na UONGO WAKOWewe endelea kugoogle na kuzunguka Mbuyu kujificha kwenye kichaka cha msamiati wa Sheria lakini Summary ya uliyoyaandika ni Hii.
• Chelsea Football Club - Mmiliki wake ni Abramovic.
• Stamford Bridge haimilikiwi na Roman Abramovich wala Chelsea Football Club. Instead, the freehold of the ground and the naming rights of the stadium vinamilikiwa na Chelsea Pitch Owners PLC (CPO).
- Je ni nani hao CPO (Chelsea Pitch Owners?)
Jibu fungua Link ya Official website yao hapa Chini 👇uone kama tunawadanganya Watu au wewe ndiye unayetaka kuwaaminisha Watu usichokijua.
Kwenye hiyo Website yao kuna maneno haya 👉 "Chelsea Football Club is not responsible for the content on the Chelsea Pitch Owners website" Sasa jiulize kwanini wamejitenganisha na Chelsea FC kwenye maudhui yao wanayopost mtandaoni? Kwanini wawe na Website yao binafsi badala ya kutumia ile ya Timu? Huoni kuwa ni Organization inayojitegemea?
Kwa Taarifa yako Uwanja mumekodishwa kwa miaka 199.
Na hao CPO uliohadaika na neno "PART OF THE CHELSEA FOOTBALL CLUB" unajua maana ya maneno hayo?
Maana yake wao ni Washabiki/Member wa Chelsea! Lakini hawana ushirika wowote na Chelsea FC katika umiliki wala hawana hisia pamoja na Abramovic.
Wao CPO wana hisa zao mbali ambazo ni 21,000 ambazo si za kibiashara.
Dully usiwe mpumbavu. Mbona timu nyingi zinamilikiwa na matajiri zaidi ya mmoja? Sasa kuna kosa gani mashabiki kumiliki uwanja wao na jina la timu alafu tajiri akabaki na timu? Hiyo inahitaji akili kubwa kuelewa? Chelsea na Stanford bridge wamiliki ni mashabiki, tajiri anamiliki timu tuChelsea Pitch Owners. [emoji23] [emoji23] [emoji23]