Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Umecheza na timu ina buruza mkia kwenye msimamo wa ligi alafu unajitamba.
Ars8 leo tunamkojoza nyingi nyingi hata wewe unajua.
Mbele ya Arteta pale kazi itakuwa kubwa. Labda Rashid Rashid Makame awe kwenye form nzuri
 
Mamluki tunajiandaa kwa Online Protest kushindikiza Kepa arudishwe Golini, Yani mutoe Cleansheet 3 halafu tuwaangalie tu??

Tutajifanya sisi ni washabiki wa Chelsea na tunaumizwa na Hela nyingi alizonunuliwa Kepa kwahiyo asiekwe Bench.

Yani tutatumia japo ubaguzi wa Rangi dhidi ya Mendy Alimradi tu Kepa arudi golini ili murudi kwenye Shida.

Haiwezekani muanze kucheka kama hivi.

Yani Nina Roho mbaya vibaya sana ili muharibikiwe.
 
Kwan uongo kwel una roho mbaya
 
Kwa sababu ya fitness na form nzuri ya Ziyech sasa Lampard atalazimika kutumia 4-3-3 kwenye mechi nyingi badala ya 3-4-3 au 4-2-3-1
 
Je wajua jina halisi la Tammy Abraham

Ni

Kevin Oghenetega Tamaraebi Bakumo-Abraham
 
Bring Back Our Kepa

Lamp you must consider the value for Money.

To let £75m sit on the bench is unacceptable.

#KepaLifeMatter
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom