Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wale wote ambao ni washabiki lialia wa chelsea yetu na kipa wetu ghali kabisa ulimwenguni Kepa, tukumbuke hashtag ni #KLM

yaani #kepa_life_matter
 
Maji ni uhai,

Kwahiyo kila unapopata nafasi ya kupiga funda moja kumbuka kutetea na uhai wa wengine.



#KLM
 
Yaani kuanzia tarehe 29/11 hadi boxing day ratiba ni mbovu kwa Chelsea naomba tu FL awe na first eleven ya uhakika na injuries zote zisitokee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom