Defens yetu sahiv inacheza vizur sema zouna inabid apunguze silly mistakeBa Silva plus Zouma
Silva mtu mzima ana uzoefu wa kutosha.Defens yetu sahiv inacheza vizur sema zouna inabid apunguze silly mistake
Uwepo wa silva defens inakuwa inatulia
Naona mid ya kante kama dm na mount kama cm na kai kama no 10 team inacheza vizuri
Hiyo ndio shida ya FLCha ajabu utashangaa game ijayo jorginho anachezeshwa kama DM.
Kwa saiv sidhan,Hiyo ndio shida ya FL
Niko poaSisi hatuna habari nao maana tuna vpnenika hapa ni mwendo wa kupiga kimya kimya watashangaa tuko fainali 😀😀😀😀
Natumaini uko salama Sister..
Pia Kuna combination ya James na ziyech wakizd kuchez pamoja itakua pair moja nzr sanaDefens yetu sahiv inacheza vizur sema zouna inabid apunguze silly mistake
Uwepo wa silva defens inakuwa inatulia
Usijitambe kijana, hicho ni kibonde tu.Hahaha This is Chelsea popote pale tunakanyaga kwa sasa.
#CFC![]()
Tatizo lako unajitokezaga pindi timu yako ikishinda, ikifungwa unapotea.Niko poa
Nilipamiss humu
Jf ilidisapper tena yan ndiyo imerudi sahivi
3-0![]()
Unaongea bado yupo yupo kisa tumemfunga burnley, kweli??Lampard ameanza kugawa dozi nzito nitawaambia nini watu niliowaaminisha Lampard hatoboi December.
Ila Mendy, Zouma, Thiago wameleta mapinduzi makubwa sana kwenye safu ya ulinzi. Well done boys.
Lampard bado yupo yupo sana.
Mbona huyo ni Zuma garota? Au umekuchanganya weusi huo?
Kwa mbinde au kwa kupewa penalt?Tatizo lako unajitokezaga pindi timu yako ikishinda, ikifungwa unapotea.
Liverpool nae jana kashinda (japo kwa mbinde) nahisi jana uliulaza vyema.
Mukifungwa kidogo tu Lampard out.Lampard ameanza kugawa dozi nzito nitawaambia nini watu niliowaaminisha Lampard hatoboi December.
Ila Mendy, Zouma, Thiago wameleta mapinduzi makubwa sana kwenye safu ya ulinzi. Well done boys.
Lampard bado yupo yupo sana.
Kwani Diego jota kafunga kwa penati?Kwa mbinde au kwa kupewa penalt?