Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Nilimjibu aliyehoji Silva kupewa u captainCaptain ni kiongozi, lazima uwe na ushawishi na kuwaweka wenzako pamoja, kuwawekewa mentality ya kushinda. Ndio maana Silva kwa mechi yake ya kwanza akapewa ukapteni ndugu kwa sababu hizo sifa anazo
Lampard amefanya nini?Lampard ni Sarri Masigara aliyechangamka tu, naona hata top 4 tuliingia sababu ya juhudi za wachezaji wenyewe na hat timu zilizokuwa nyuma yake hazikuwa na ushindani mkubwa sana.
Kijumla Lampard hajui kabisa ni kipi anachokitaka katika ukocha wake kwa Chelsea FC, mashabiki tujiandae kisaikolojia kuvumilia maumivu maali sana mwaka huu.
Kwa jinsi ninavyoona CHO anaendana kiuchezaji na Havertz maana zile gonga mbili tatu kati yao zinaashiria wanaweza kufanya kazi vizuri. Ubaya wa CHO naye kuna muda huwa anakua kama Barkley yan unahisi huyu mtu siku moja kabla ya mechi lazima atakua alilala Casino.CHO jana ndio mkombozi, kaingia kafanya mpira uchangamke, kuanzia sasa CHO namkubali kwenye first team, Lampard aangalie tu namna ya kuchanga hizo karata zake
Tatizo sio formation Ni namna ambavyo anaifanya Chelsea isiwe disorganized sisi tunapokuwa hatuna mipira balaa linaanzia hapo tunaacha game kubwa kwa opponent kutushambulia na kufika goal letu kirahisi sanaKama unamuelewa Lampard ebu niambieni ni formation ipi iliyotumika katika mechi na West Brom
Umeongea point kabisa Hilo ndilo linanifanya nisimuamini odoi.Kwa jinsi ninavyoona CHO anaendana kiuchezaji na Havertz maana zile gonga mbili tatu kati yao zinaashiria wanaweza kufanya kazi vizuri. Ubaya wa CHO naye kuna muda huwa anakua kama Barkley yan unahisi huyu mtu siku moja kabla ya mechi lazima atakua alilala Casino.
CHO huwa anakosa consistency kabisa. Kipaji anacho lakini nahisi ni mvivu wa mazoezi binafsi ndio maana anakosa consistency.
Naomba Mungu hiyo consistency ikae kuanzia jana. Akiwa Consistent, Odoi ni zinga la wide winger, itaifanya Chelsea kuwa na wachezaji wa kutumainiwa hata kwenye benchiKwa jinsi ninavyoona CHO anaendana kiuchezaji na Havertz maana zile gonga mbili tatu kati yao zinaashiria wanaweza kufanya kazi vizuri. Ubaya wa CHO naye kuna muda huwa anakua kama Barkley yan unahisi huyu mtu siku moja kabla ya mechi lazima atakua alilala Casino.
CHO huwa anakosa consistency kabisa. Kipaji anacho lakini nahisi ni mvivu wa mazoezi binafsi ndio maana anakosa consistency.
Tulia wewe pale kwa THIAGO tutaona mengi msimu huu, akili inataka mwili hautaki. [emoji23] [emoji23] [emoji23].Mi siwaelewi kabisa hao mashabiki ywa Arsenal, cha ajabu mwaka huu wamejazana sana kwenye uzi wa Chelsea kuliko hata mashabiki wa timu zingine.
Si vibaya ikiwa watakuja humu kwa nidhamu kujadili mapungufu yetu lakini waige mfano wa kuwa na heshima kama Mr Don Clleruzio.
Nilimwambia mwana man baada ya kuwa tumepigwa 3,sina wasiwasi na hii Chelsea.Tho sijaangalia mpira kutokana na majukumu ila naamini vijana wamecheza vizuri. Kurudisha goli tatu si kitu rahisi.
Binafsi nawapongeza naamini next tutafanya wanders
Note;Chelsea na yanga wote mnatafuta muunganiko [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Mmewasawazishia West Brom?Note;
Chelsea ya msimu jana ilikuwa haina uwezo wa kusawazisha Goli 3.
Nakukumbusha this is New Chelsea
chelsea msimu huu ni full burdani.
Odoi anaweza kuaminika kwa sababu bado ni dogo mdogo akipata mtu mzuri wa kumfanyia cancelling atakaa vizuri tu. Hebu jiulize mwenyewe mchezaji mdogo anapata mshahara mkubwa, bado kuna offer kutika Bayern na PSG zinamfuata unategemea huyo kiakili atakua sawa?Umeongea point kabisa Hilo ndilo linanifanya nisimuamini odoi.
Tumetoka kwenye kufungwa hadi kutoa draw ni jitihada kubwa.
Odoi bado tu akili yake haijatulia kusubiri wakati wake. Anataka afanye mambo makubwa kwa haraka sana, kuna force ya kuwaprove wrong hater inamuendesha na ndicho kinawaharibu teenagers wengi.Naomba Mungu hiyo consistency ikae kuanzia jana. Akiwa Consistent, Odoi ni zinga la wide winger, itaifanya Chelsea kuwa na wachezaji wa kutumainiwa hata kwenye benchi
Kufungwa, kufunga, kudraw ni matokeo ya mpira.Mmewasawazishia West Brom?
Mnachekesha kweli nyie ze blauzi![emoji38][emoji38][emoji38]
Kwahiyo sasa hivi mnafurahia sare na West Brom.
Crystal Palace nilikua nacheki game yao na Everton jana asee jamaa wanatumia nguvu sana kutafuta magoli. Sasa timu kama hizo zikikutana na high pressing ni rahisi kula magoli mengi sana. Sijui kama tutaweza kufanya pressing kwa kutokua na midfield inayoeleweka.29/9/2020 Spurs - Carabao Cup fourth round
03/10/2020 Crystal Palace EPL
Wewe jamaa hebu uwe unasoma hata mara mbili halafu tumia walau nusu dakika utafakari unachoelekea kuandika.Mmewasawazishia West Brom?
Mnachekesha kweli nyie ze blauzi![emoji38][emoji38][emoji38]
Kwahiyo sasa hivi mnafurahia sare na West Brom.
Tupe na takwimu za comrade kipepe baada ya game 3[emoji383] Timo Werner: £47.5m
[emoji383] Kai Havertz: £70m
[emoji460]️ Goals so far today: [emoji2388]