Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


duh! kumbe guardiola anabonga kiswahili!
 
ile kadi mimi sijaielewa hata kidogo pamoja na marudio yote.
 
Mmejificha wapi???? Tokeni kwenye hayo mahandaki jamani, matokeo yakibaki yalivyo mnaenda fainali!!
 
Khaaa umenikimbia ghafla hakuna kupoteza B ushindi lazima


Haya bana B mna advantage kubwa sana maana mko 12 pamoja na referee LOL! πŸ™‚πŸ™‚ wakati Chelsea wako 10 tu halafu mko nyumbani hivyo possibility ya kushinda ni kubwa sana...lakini mpira hudunda hivyo kibao kinaweza kabisa kuwageukia.
 
DuH i dont think if Chelsea will manage to keep safely this aggregate up to 90minutes.
 
Mhhhh! Yaani goli 2-0 kabla hata ya HT dah!...Hahahahahah lol! Niko banaaa sijafichwa πŸ™‚πŸ™‚.....muda kama unakuruhusu kaione The lucky one...... hehehe wamepata moja Chelsea LOL!

Naona leo lolote linawezekana..Nuo Camp kumeshona vilivyo, heeee!! Bora hujafichwa aisee, good to read from you!!..yaani hao ''The Lucky One'' wana hati hati...tuone 90mnts itakuwaje..!!



belinda umesuuza roho yangu wewe!

Kumbe wewe ni wa darajani eeeh..lile goli la kanzu limetulia sana, me like it sanaaa!! tuone 2nd half..
 
Reactions: BAK
ile kadi mimi sijaielewa hata kidogo pamoja na marudio yote.
Sanchez kaguswa na goti la Terry kajiangusha....Na Refa asivyo na hiana kampiga red Terry bila hata kujiuliza wala kumuuliza msaidizi wake.....Mourinho alishayazoea haya na kwele El classico iliyopita alimuandaa vema Pepe kisaikolojia ili akabiliane na changamoto za akina Messi na Sanchez ambao mara nyingi wamekuwa wakijiangusha na kupelekea Pepe kulambwa red katika El classico...
 
Ramires Santos do Nascimento....

Wabrazil huwa hawadanganyi bana....

What a goal......

Pamoja na Barca kubebwa....Leo jirani zangu Chelsea lazima wawafanyizie




aliyekuambia huyo mbrazili nani.? Mara ngapi tumeshuhudia wabrazili wakijiangushu bila sababu. Rivaldo sio mbrazili alie chezewaga faulo ya mguu akamdanganya refa amepigwa kichwa.
 
Naona leo lolote linawezekana..Nuo Camp kumeshona vilivyo, heeee!! Bora hujafichwa aisee, good to read from you!!..yaani hao ''The Lucky One'' wana hati hati...tuone 90mnts itakuwaje..!

The lucky one yuko Zack Efron kacheza vizuri sana...mie nimeipenda....Kile Kilugha vipi kimeanza kupanda?...Dah! huyu refa anatoa penalty kama anagawa njugu vile!!! πŸ™
 
Pamoja na kubebwa............Barca leo hawabebeki

Messi kakosa penati..........lol!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…