Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Barca 2 -1 Chalsea.
Bao safi sanaaaaaa!
Kama matokeo yatabaki hivi hivi, adios Barca.
 
Thanks BAK..ila mambo ndo yamepamba moto ujue!!..Chelsea nao wakishinda ni vyema pia!!

Upo lakini? You're missed, umefichwaaa


Mhhhh! Yaani goli 2-0 kabla hata ya HT dah!...Hahahahahah lol! Niko banaaa sijafichwa 🙂🙂.....muda kama unakuruhusu kaione The lucky one...... hehehe wamepata moja Chelsea LOL!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom