OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Kafunga sasa unatakaje?Mnakaa kimya kwa sababu mnajua mmekosea ila hamtaki kusema kama mmekosea, ndio inavyokuwa..
Yani hapo mnatamani huyo Kai hata afunge goli game ijayo ili mhisi kama mmetu-prove wrong![emoji1]
Lakini ukweli utabakia pale pale.. Falcao wenyewe alipoenda Man Utd, katika zile game za mwanzo tu walishajua kama pale wamepigwa.
Aliposhinda goli lake la kwanza wakapata la kusema.
Mpaka anaondoka, ukimuuliza leo shabiki wa Manyumbu kuhusu Falcao atakuambia tumepigwa!
Ndio inavyokuwa, na ndo inatokea kwenu pia![emoji23][emoji23]
Tulia wewe Kai ana hat trick, Auba anarukaruka bado.Unatumia Pauni Milioni 135 kwa ajili ya Werner na Kai halafu assisst anatoa Kepa.
Kwa mechi za juzi Kane ana assisst nyingi kuliko pasi zilizofika za Kai.
Huyu mchezaji wa arsenal anahitaji kuhudumiwa nini ππππAma kweli nyani haoni kunduleView attachment 1578869
[emoji23][emoji23] nawaza sana nakosa majibuHuyu mchezaji wa arsenal anahitaji kuhudumiwa nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu kijana atawavua nguo mabeki wengi sana.
Kai siyo wa kumfananisha na iyo takataka. Comredi Kipepe hata kagera sugar hapati namba.Jinsi alivyoweka hzo goli kirahisi na ukimtizama komredi kipepe anavyocheza kwa nguvu zote aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha uwongo ww,Kwan Barnsley anacheza Golf au Formula 1? Si wote tunacheza mpira?
Leicester mwenyewe kakupangia kikosi nyoronyoro sana wakati nyie mmeweka karibia wachezaji 7 regular starter.
Acha masihara[emoji1787][emoji1787]Tulia wewe Kai ana hat trick, Auba anarukaruka bado.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Ungeniwekea kikosi nione hizo changes na siyo unacopy and paste hizo commentWacha uwongo ww,
The Gunners made seven changes at the King Power Stadium
Nenda sofascore kaangalie, [emoji23] yaani katimu kamtaani mnakafunga 6 mnakuja kupiga kelele humu, hamna aibu[emoji848]Ungeniwekea kikosi nione hizo changes na siyo unacopy and paste hizo comment
Tatizo lenu nyie mkijibiwa mnasema tunapiga kelele. Kwa hiyo nyie muongee sisi tukae kimya?Nenda sofascore kaangalie, [emoji23] yaani katimu kamtaani mnakafunga 6 mnakuja kupiga kelele humu, hamna aibu[emoji848]
Bado kazidiwa assisst na Kepa? Au kasawazisha?Tulia wewe Kai ana hat trick, Auba anarukaruka bado.
#CFCπππ
Mkuu mbona comrade kipepe mchezaji tuliepigwa anatumia nguvu nyingi kufunga km mtoto anayetambaa anayetaka kutembea... C ajifunze kwa kai anafunga kirahisi....Mchezaji ambaye amenunuliwa kwa pesa kubwa akifika na kutoiishi gharama aliyonunuliwa katika ligi hua anawekwa kwenye games za makombe kama Carabao hivi ili kujaribu kurudisha confidence yake.
Mchezaji wa gharama ya juu kabisa katika new signings zako ana succesful passes chache kuliko assissts za Harry Kane huyo anastahili kuwemo kwenye kikosi kinachocheza Carabao.[emoji189]
Swali ni je? Akishapiga hat trick anastahili hype ya kiwango hichi? Tena against Burnsley?[emoji23][emoji23][emoji23]
Na ukumbuke kwamba Harry Kane ni ST. So hii new signing kulingana na position yake alitakiwa awe anamzidi ST kwa assisst.
Nicolas Pepe.Mkuu mbona comrade kipepe mchezaji tuliepigwa anatumia nguvu nyingi kufunga km mtoto anayetambaa anayetaka kutembea... C ajifunze kwa kai anafunga kirahisi....View attachment 1579100