Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yeye na Ollachuga wamejipiga BAN ya maisha..... Huu uzi ni mali yetu ARSENAL THE GUNNERS. .... muda huu tuko hapa tunawaacha kwanza Pundamilia Fc wajikande kande majeraha ya juzi
 
Mzee mwenzangu Pundamilia Fc, hivi maumivu ya zile tatu bado hayajapoa???
Tulikupiga bao 8 mpaka chaga zikavunjika lakini tulisha sahau.
Itakua sisi kuotewa na vile vitoto!?
Kilicho tokea ni sawa na kunguru kunyea manati tu.
GGMU
 
Tulikupiga bao 8 mpaka chaga zikavunjika lakini tulisha sahau.
Itakua sisi kuotewa na vile vitoto!?
Kilicho tokea ni sawa na kunguru kunyea manati tu.
GGMU
Nyumbu ni Nyumbu tu. Juzi tu hapa Barca kachezea 8 kwa Bayern... Brazil mwenyewe keshawahi bugia 7 kwa Germany.... Huna unachelewa

#COYG
 
Mkuu hii comment yako imenichekesha mno.
 
Kwakuwa wenye nyumba wamekimbia, ni rukhsa kutamba.
Ila kutamba kwako kuishie huku huku, sio Kule kwa wanaume.
GGMU.
Ninyi mmeshaanza kutumika na vitoto vidogo vidogo ... Naomba Fa wabadili ratiba watusogezee huyu binti Maringo mapema tumbutue kabla hajatumiwa sana na hawa akina Everton, Leeds , Leicester.. usije ukaja kwangu umeshachakaa ukatafuta sababu


#COYG #COYG #COYG
ARSENAL, PREMIER LEAGUE CHAMPIONS 2020/2021
 
3llyEmma Kai kanunuliwa ili alete ubunifu mbele Sio tofauti na hapo na yule Ni attack midfielder sema Lampard anamtumia Kama left winger na hiyo game kutengeneza nafasi 2 za wazi kwa Timo Werner ila Werner akakosa yule Ni Kama ozil wa Madrid uchezaji wake.
 
Mbona unauliza maswali kama polisi au takukuru wewe
 
Arsenal mwaka huu tutawajua wote hata wale waliohamia Aston Villa na Norwich city, mwaka huu mechi mbili tu wamefufuka. Ngoja vipigo vianze kutembea watarudi kwa Sammata na kujifanya wazalendo wa kweli
#COYG
#ARSENAL MABINGWA EPL 2020/2021
 
Yeye na Ollachuga wamejipiga BAN ya maisha..... Huu uzi ni mali yetu ARSENAL THE GUNNERS. .... muda huu tuko hapa tunawaacha kwanza Pundamilia Fc wajikande kande majeraha ya juzi
Huyu Ollachuga Oc ni mjanja sana alikuja kule jukwaani kwetu akatukana matusi makubwa makubwa mpaka nikashangaa, tulivyokaa katika kikao cha mamods tukataka tumpige ban, lakini mimi nikasema hapana tusijisumbue kwasababu baadae wana game na liverpool atajipiga ban mwenyewe na ndivyo ilivyokuwa ,sasa hivi yupo machokoroni huko
 
Arsenal mwaka huu tutawajua wote hata wale waliohamia Aston Villa na Norwich city, mwaka huu mechi mbili tu wamefufuka. Ngoja vipigo vianze kutembea watarudi kwa Sammata na kujifanya wazalendo wa kweli
tulia wewe sisi huwa hatujifichi tupo hapa mvua na jua sio nyinyi mkipigwa kidogo mnakimbia kama kunguni wamewashiwa taa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…