Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wapiga ramli mshafika. Badala mtushabikie sisi kaka zenu tuwalipie kisasi leo baada ya kuwabomoa msimu uliopita mnashabikia upande mbovu. Blue is the color [emoji838][emoji838][emoji838][emoji23]
Kwani wewe ulivyobomolewa na sheffield, west ham, newcastle, united nani lliyekulipia kisasi kama si sisi wakubwa zenu, muwe na adabu,
 
Nilichokiona jana kwa
Chelsea MATEO KOVACIC ndio Engine ya Midfield ya Chelsea kwa sasa.
Yule Loftus Cheek hakuna mchezaji pale.
Kai Lampard amchezeshe kama CAM akiendelea kumchezesha kama Wing anatakuwa Lord Lingard soon.
 
Kuanzia herufi ya kwanza sijui unaongea nini??? Unaumwa subiri upone uongee tukuelewe
 
Sawa hakuna shida ,ila kwa ule mpira ,

Hivi tukishusha Limtu kama Partey, kai atawezana kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo kashalambwa chenga sana game za uefa Bayer Leverkusen vs atletico Madrid....nenda YouTube ukaangalie
 
Nikisema hapa huyu Loftus Kuku hafai kuichezea Chelsea kuna watu wanatoka na kulalama eti apewe muda, sasa huyu kuku apewe muda mara ngapi.!?? Ameisha huyu kuku ona sasa anachofanya uwanjani
Hao mlionunua ni mikojo tu, mavi matupu
 
Hapo waliokosekana ni kovacis na Pulisic , hao wengine usiwahesabie hawana tofauti na walioanza

Hao Brighton tutawapiga nyingi sana ,

Wasije wakadhan kocha ni tapeli emery ,
Yaan mlivyomtimua emery mechi ya kwanza mkacheza nao chini ya Yule msimamiz Wa mazoezi mkala kiminyo.....2 nd leg KOCHA wenu arteta mkala kiminyo kama kawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…