Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,061
- 27,466
Utawaonea tu Nike , Mbona man u wapo Adida lakini wana jezi mbaya kuna nyingine kama Pundamilia[emoji23][emoji23]Ila sisi Chelsea kwenye swala la jezi tunafeli sana. Hiyo third kit bora hata jezi ya mazoezi au ya warm up.
Nike wanatuhujumu bora turudi kwa Adidas
Mashabiki wa chelsea tunaharib hii thread yetu sisi wenyewe,tukiacha maswala ya kuwaita sijuo g** gooner na maneno ya hovyo sidhani kama mashabiki wa arsenal wataendelea kupost vitu ambavyo no vya kipuuzi humu ndani.
Tuangalie ma jukwaa ya liverpool na man utd wanavyojadili kule unaweza peleka ujinga wako watu wakaupuuza ila hukh ujinga ukipostiwa tu watu tunataka tujib
Tushakuwa watu wazima tuact kama watu wazima.
Tudiscuss issue zinazoihus team wapi tunahitaj improvement, na wapi tunaelekea baada ya sajili hizi n etc sio kuanza kuitana na mashabiki wa arsenal maneno ua kipuuzi
Hivi Kati ya mashabiki wa Arsenal na Chelseafc nimashabiki gani wenye stress na timu yao,be fair weka ushabiki wa timu pembeni.Mdogo wangu maisha yako yatazidi kuwa magumu sababu ya vitu viwili,
Chel7 na uto[emoji120][emoji120][emoji120]
Arsenal timu ndogo? 3rd most team decorated in EPL?Arsenal & Chelsea zote ni timu ndogo.
Mashabiki wao wengi ni watoto walio zaliwa 1990+ unategemea kitatokea nini hapo!?
Manchester United & Liverpool sisi ni watu wazima, Kule isitegemee kukuta ujinga ujinga.
Mtu mwenye majukumu ya msingi (kusomesha watoto ) hawezi kuwa na muda wa kubishana kijinga.
NB. Mpira ni burudani, ushabiki ni utani.
Matusi na dharau sio ushabiki asilani.
GGMU.
Nike know London is Red
Umeongea point sana ,Mashabiki wa chelsea tunaharib hii thread yetu sisi wenyewe,tukiacha maswala ya kuwaita sijuo g** gooner na maneno ya hovyo sidhani kama mashabiki wa arsenal wataendelea kupost vitu ambavyo no vya kipuuzi humu ndani.
Tuangalie ma jukwaa ya liverpool na man utd wanavyojadili kule unaweza peleka ujinga wako watu wakaupuuza ila hukh ujinga ukipostiwa tu watu tunataka tujib
Tushakuwa watu wazima tuact kama watu wazima.
Tudiscuss issue zinazoihus team wapi tunahitaj improvement, na wapi tunaelekea baada ya sajili hizi n etc sio kuanza kuitana na mashabiki wa arsenal maneno ua kipuuzi
EPL tulishachukua kipind hata Chelsea haijaanzishwa ,Fujo na kejeli mmeanzisha nyie wenyewe hasa mliposhinda FA leo hii wewe ndio unasema tumeanzisha sisi?
Mla ndizi hakumbuki, muokota maganda ndio jukumu lake. Kombe la FA liliwapa wazimu sana nawaza mngechukua EPL sijui ingekuaje!View attachment 1559798
Tayari moderator wameshafanya yao Wawili wameshakula ban ya miez 3 kila mmojaNinyi hamzijui taratibu kuwa mnapaswa kutaarifu kwa Moderators wamtoe kabisa kwenye JF?
Sasa mnapata faida gani kujibizana na watu matusi ilihali hii ni sehemu ya burudani?
Tena isitoshe labda ni watu wazima mnaoongoza familia hata wasifu mbalimbali katika jamii.
Tafadhalini sana ndugu zangu nawaomba tuheshimiane ili tufurahie maisha kuliko matusi.
[emoji23][emoji23] sasa bora hao punda ni third kit. Sisi hadi home kit miyeyusho tuUtawaonea tu Nike , Mbona man u wapo Adida lakini wana jezi mbaya kuna nyingine kama Pundamilia[emoji23][emoji23]
Nilikuambia haya matusi yameanza mlipochukua FA mbele yetu nyie ndio mlikua wa kwanza kuja huku kututukana sijasema hamjawahi kuchukua kombe ila reaction yenu baada ya kuchukua kombe ilikua ni sawa na Leicester alipochukua EPL kwa mara ya kwanza. Mli react kama timu changa sana pamoja na matusi juu.EPL tulishachukua kipind hata Chelsea haijaanzishwa ,
Tulishalichukua pia EPL bila kufungwa
Una haki kusema hivo maana wakati Arsenal anabeba EPL , wewe ulikuwa hujaanza kuishabikia Chelsea ,Na uhakika umeanza kuijua Chelsea 2010-2015View attachment 1561604
Halafu ukiitwa takataka unaanza kulia lia kwa huu utumbo unaoandika hata mende wa nyumbani kwako watakushangaa. Arsenal kombe la kwanza la ligi mmechukua mwaka 1930 halafu unaandika eti hata Chelsea ilikua haijaanzishwa [emoji23][emoji23]EPL tulishachukua kipind hata Chelsea haijaanzishwa ,
Tulishalichukua pia EPL bila kufungwa
Una haki kusema hivo maana wakati Arsenal anabeba EPL , wewe ulikuwa hujaanza kuishabikia Chelsea ,Na uhakika umeanza kuijua Chelsea 2010-2015View attachment 1561604
Mbona umepanik sana , [emoji23][emoji23][emoji23]Halafu ukiitwa takataka unaanza kulia lia kwa huu utumbo unaoandika hata mende wa nyumbani kwako watakushangaa. Arsenal kombe la kwanza la ligi mmechukua mwaka 1930 halafu unaandika eti hata Chelsea ilikua haijaanzishwa [emoji23][emoji23]
Kawaandikie ndugu zako uliozoea copy na ku paste hawahoji chochote. Mkuu tunaomba tupe vitu vyenye akili usilete porojo humu utaaibika wewe.
Tatizo unataka kutujaza ujinga kama unavyowajaza Arsenal wenzio.Mbona umepanik sana , [emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo kwamba amepaniki kama kitu hukijui bora ungeuliza kwa wanaojua,jamaa amekufumbua macho ulikuwa hujui kuwa Arsenal kwa mara ya kwanza ilichukua ubingwa mwaka huo au unabisha?Mbona umepanik sana , [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndio huelewi chochote , kwahiyo haikuwahi kuchukua tena ? Au hoja ni niniSiyo kwamba amepaniki kama kitu hukijui bora ungeuliza kwa wanaojua,jamaa amekufumbua macho ulikuwa hujui kuwa Arsenal kwa mara ya kwanza ilichukua ubingwa mwaka huo au unabisha?
Hamna mtu anayemuendesha mwenzake , Na uhakika umeanza kuijua Chelsea 2010-2015Tatizo unataka kutujaza ujinga kama unavyowajaza Arsenal wenzio.
Okay okayHamna mtu anayemuendesha mwenzake , Na uhakika umeanza kuijua Chelsea 2010-2015
Maana Chelsea imeanzishwa 2005 , kuijua umeijua 2010-2015 ndio maana unasema Arsenal angebeba EPL ,
Sasa ndio nakuelimisha tulishabeba EPL kabla Chelsea haijaanzishwa 2005 ,
Unacholialia nini , wewe na uhakika umeijua Chelsea 2010-2015Tatizo unataka kutujaza ujinga kama unavyowajaza Arsenal wenzio.