DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
Acha uvivu, deco alikuja chelsea akiwa na umri gani? Alikuja kula pension kama kawaidaDeco akiwa kwenye ubora wake katoka Barcelona kaenda Chelsea je Barcelona Ni team ndogo? Ronaldo katoka Man United kaenda Madrid je man u Ni team ndogo?