Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kikos laini sana hiki
Kikos laini sana hiki
Kikos uji uji hikoWalahi Arsenal aka takataka watagoma kuingiza wachezaji uwanjani kwa kikosi hichi
Kama jamaa yako kamweka morata kwenye list ya flop...basi kwann hajamuweka huyo kipepe ambaye kazidiwa. Magoli msimu wake wa kwanza na morata....kipepe kwenye ligi tu ana goli 5 huko afu hela mingii...I pity you arsenaneKwahiyo hapo Pepe kaflop?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe jamaa ni tatizo
Kweli wewe Shimba , Morata ni CF , Pepe ni winger ,Kama jamaa yako kamweka morata kwenye list ya flop...basi kwann hajamuweka huyo kipepe ambaye kazidiwa. Magoli msimu wake wa kwanza na morata....kipepe kwenye ligi tu ana goli 5 huko afu hela mingii...I pity you arsenane
Haaahaaaa Mmh assist 18......Kweli wewe Shimba , Morata ni CF , Pepe ni winger ,
Pepe katuchangia magoli/Assist 18 ,na hapo kacheza chini ya makocha watatu na ni msimu wake wa kwanza ,
Unafananisha na hiyo takataka Morata?
Ndugu usitufanye hatujui mpira, it is a matter of position tu, hao wote ni foward na wanatakiwa wafunge au waasistsKweli wewe Shimba , Morata ni CF , Pepe ni winger ,
Pepe katuchangia magoli/Assist 18 ,na hapo kacheza chini ya makocha watatu na ni msimu wake wa kwanza ,
Unafananisha na hiyo takataka Morata?
Nyinyi ndio mnakidhalilishaga hiki kikundi cha CHELTYAKO[emoji23][emoji23][emoji23] sasa unamfananishaje PEPE na Morata? Hivi hata soka unalielewa kweli wewe? DahKama jamaa yako kamweka morata kwenye list ya flop...basi kwann hajamuweka huyo kipepe ambaye kazidiwa. Magoli msimu wake wa kwanza na morata....kipepe kwenye ligi tu ana goli 5 huko afu hela mingii...I pity you arsenane
Kwahiyo na wewe pia unasema Pepe kaflop?Ndugu usitufanye hatujui mpira, it is a matter of position tu, hao wote ni foward na wanatakiwa wafunge au waasists
Mpira wa kizamani ndio magoli afunge striker tu viungo washambuliaji na winga wote ni washambuliaji au kiingereza forward na kazi ya mshambuliaji ni kufunga magoli. Mbona kule alikotoka alikuwa striker au winga? mbona kafunga mengi. kuflop ni kwamba ulikuwa unafanya vizuri sasa huwezi tena kufunga kama zaman i ndio maana ya kuflop
Kwanza Morata hakuflop kwa sababu magoli aliyokuwa nafunga RM, Juve ni rate ile ile
Statement inasema has been offered kama hunaelewa ni kwamba siyo sisi(Chelsea) tumetuma maombi ila ni kama tumepewa offer ya kumsajili free.Wewe Payuka tu, Hadi sasa Hujasajiri kipa wakueleweka
PSG defender Thiago Silva offered to Chelsea on free transfer (Telegraph) #CFC #PSG
[emoji23][emoji23][emoji23]Naam
Leo nawaletea Sajili Za Kitapeli mbovu kuwai kutoea duniani[emoji116]
1.Kepa huyu bwana ni moja kati ya walinda milango sio magoli[emoji23]
2.Zappacosta mlaji kama wali mshahara
.3Emerson palmer
4.bakayoko [emoji23]
5.Fellain
6.Alexis Sanchez walaji mishahara[emoji23]
8.Alvaro morata au mrata
9.Yikpe[emoji23]
10.K.P boateng
11.Martin brathwhite
12.Angel di maria united[emoji23]
13.depay
14.Osumane dembele wheel chair[emoji23]
15Eric bally .Hospital difender
16.Mangala[emoji23]
17.Lukaku .lukazigo[emoji23] man united
18.Willy caballero mbeba mafuta ya taa zizini[emoji23]
19.Mariano Diaz mrithi wa ronaldo [emoji23]
20.Jaja yanga[emoji23] muuza madafu Brazil
21.Tairone Santos .muuza maji brazil
22.Kindoki[emoji23]
23.Pape ndaw mzee wa power bank[emoji23]
Najua wengi mnataka kujiuliza mbona minamino hayupo hapo kwenye list
Minamino yeye hata kwenye hii list hawezi ingia
Sio mchezaji Bali ni samurai wa kijapani aliye jificha kwenye soccer jamani[emoji23]
Nakwenda zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1542753
Uwe unaelewa vitu kabla hujaropoka. Chelsea haija muapproach Silva ila ni option ipo kama Chelsea itahitaji kumchukua bure na akubali kushusha mshahara.Wakati Willy Caballero anatimiza miaka 39 siku chache zijazo,
Jamaa wamemuona mpweke wanataka kumuongezea mzee mwenzake Thiago Silva mwenye umri wa 36 na kipa mwenye umri wa miaka 37 ili pale nyuma panoge[emoji23][emoji23][emoji23] kwa usajiri huru.
Achana naye anateseka, anamdiss mchezaji mwenye kipaji kikubwa ligi nzimaPepe inaonesha anakusumbua toka awafanye mbaya pale Wembley
Kwa akili yako pepe kaflop?Ndugu usitufanye hatujui mpira, it is a matter of position tu, hao wote ni foward na wanatakiwa wafunge au waasists
Mpira wa kizamani ndio magoli afunge striker tu viungo washambuliaji na winga wote ni washambuliaji au kiingereza forward na kazi ya mshambuliaji ni kufunga magoli. Mbona kule alikotoka alikuwa striker au winga? mbona kafunga mengi. kuflop ni kwamba ulikuwa unafanya vizuri sasa huwezi tena kufunga kama zaman i ndio maana ya kuflop
Kwanza Morata hakuflop kwa sababu magoli aliyokuwa nafunga RM, Juve ni rate ile ile
Tuishi humu. Comrade KipepePepe ameshaonesha tayari huwezi mfananisha na takataka,
Unaelewa maana ya G/A 18Haaahaaaa Mmh assist 18......
Nyie mmesajili kiungo tayari? Unataka kuzima kwa mwenzio na wakati kwako kunaunguaAcheni ujinga nyie sajilini beki!
Hiyo boxing day sijui mtaficha wapi sura zenu. Mtashindwa kufungua zawadi nyie.Hii Cheltyako ht msajili nani ila Arteta ana jambo lake hapa Boxing day, hazipungui goli tatu,My prediction wafungaji ni Pepe,Willian,Auba.
Coyg [emoji837]
Arsenal london chama kubwa
Mkuu huu mwendo uliorudi nao naomba uendelee nao usije ukakimbia kama kipindi kile. Uliporudi ukabadilisha na jina[emoji23][emoji23]Unaelewa maana ya G/A 18
Ukitoa Auba anayefatia kwa uchangiaji mabao Arsenal ni Pepe
2nd Most chances created Arsenal ni Pepe
Ingia YouTube andika Pepe vs Chelsea FA CUP FAINAL
nadhan utarud kwa heshima hapa
Usikimbilie kwenye position huyo arsenane mwenzako katumia kigezo gani kuwapanga hao wachezaji kuwa wameflop? Unarukia tu mzee hujui imetokea wapiNyinyi ndio mnakidhalilishaga hiki kikundi cha CHELTYAKO[emoji23][emoji23][emoji23] sasa unamfananishaje PEPE na Morata? Hivi hata soka unalielewa kweli wewe? Dah