Naam
Leo nawaletea Sajili Za Kitapeli mbovu kuwai kutoea duniani[emoji116]
1.Kepa huyu bwana ni moja kati ya walinda milango sio magoli[emoji23]
2.Zappacosta mlaji kama wali mshahara
.3Emerson palmer
4.bakayoko [emoji23]
5.Fellain
6.Alexis Sanchez walaji mishahara[emoji23]
8.Alvaro morata au mrata
9.Yikpe[emoji23]
10.K.P boateng
11.Martin brathwhite
12.Angel di maria united[emoji23]
13.depay
14.Osumane dembele wheel chair[emoji23]
15Eric bally .Hospital difender
16.Mangala[emoji23]
17.Lukaku .lukazigo[emoji23] man united
18.Willy caballero mbeba mafuta ya taa zizini[emoji23]
19.Mariano Diaz mrithi wa ronaldo [emoji23]
20.Jaja yanga[emoji23] muuza madafu Brazil
21.Tairone Santos .muuza maji brazil
22.Kindoki[emoji23]
23.Pape ndaw mzee wa power bank[emoji23]
Najua wengi mnataka kujiuliza mbona minamino hayupo hapo kwenye list
Minamino yeye hata kwenye hii list hawezi ingia
Sio mchezaji Bali ni samurai wa kijapani aliye jificha kwenye soccer jamani[emoji23]
Nakwenda zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
View attachment 1542753