Humu siyo kama jukwaa la Arsenal kwamba ukipata chochote unatuma. Hivi vihabari uchwara mmekaa wenyewe na kabineti yenu sisi havitaweza kutusaidia.

Chelsea siyo sehemu ya wazee kustaafia kama Arsenane
Mbona Etoo alikuja kula pensionau ulikuwa bado hujazaliwa?

Willy.???
 
Humu siyo kama jukwaa la Arsenal kwamba ukipata chochote unatuma. Hivi vihabari uchwara mmekaa wenyewe na kabineti yenu sisi havitaweza kutusaidia.

Chelsea siyo sehemu ya wazee kustaafia kama Arsenane
Wewe Payuka tu, Hadi sasa Hujasajiri kipa wakueleweka

PSG defender Thiago Silva offered to Chelsea on free transfer (Telegraph) #CFC #PSG
 
Watatongozwa wataingia kwenye nyavu ,
Clabu nje ya uingeleza saiz washajua timu nyingi zinahitaji kujijenga so wachezaji wao wanahitajik sana sokoni ndomana kwenye bei wanakomaa nayo bila punguzo
.unataka mchezaji mzuri gharama itahusika wao hawajali Kama ataflop or not
 
Back
Top Bottom