Kupigwa ni issue ya baadae hata ambao wakati kepa anasajiliwa no one aliexpect kepa atakuwa na performance kama ya msim huu
Mda ndio unaoamua na sii kwa kuwa flani alipigwa na wewe ulipigwa sajili zote huwa zina hit n miss
Mchezaj yyt uliyemsajil akihit fresh
Angalia
James rodriguez,coutinho,jovic hawa wote walikuwa wazuri kwenye tim ila baada ya kuhamia kwenye tim zingine sahiv washakuwa wanatolewa kwa mkopo hakuna aliyetegemea james rodriguez atakuwa flop madrid ila ndio mpira ulivyo
Cahil alikuja chelsea akiwa na kiwango cha kawaida ila baadae akadevelop akaja kuwa cb mzuri tu na kiongozi ndani ya uwanja
Same to chilwel leo hii unaweza ukawa unahis unapigwa ila usishangae yeye ndio akawa best signing halaf wale mliowategemea ndio wakabuma