Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Exactly, umesema miaka miwili kwa sababu ya uzee, angekluwa na 20's tungempa hata minne
Sawa sawa

Watford's 37-year-old former England keeper Ben Foster has become a summer transfer target for both Chelsea and Everton. (Sun on Sunday)

Naona mpo katika kupambania vijana huko sokoni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari
 
Kupata kituko kama hiki tubonyeze ngapi mzee?

[emoji38][emoji38][emoji38]

Hivi mlivyokuwa mnambembeleza asign miaka miwili mlikuwa hamjui kuwa kaisha mawazo na uwezo?

NB: ukiwa na hasira usijitutumue kuongea unawaaibisha timu ndogo wenzako? Yaani waliopo ktk technical staff ya Chelsea pale London wamestruggle kumshawishi jamaa asinye miaka miwili ila wewe uliopo vigwaza unamuona Willian hana uwezo,
Uwage na stamala na aibu.
Mzee huu mkurupuko umezidi sasa maana huelewi nilishoandika. Board imeona uwezo wake na ndio maana ikampa miaka 2 lakini kwa timu aliyoenda anaweza faa kulingana na uwezo wake si kwetu sisi. Angekua wa muhimu sana angepewa hiyo miaka 3 aliyotaka.
 
Da we jamaa unatia huruma maana huelewi hata unachosimamia

Haya

Watford's 37-year-old former England keeper Ben Foster has become a summer transfer target for both Chelsea and Everton. (Sun on Sunday)

Kijana huyo.
 
Sawa sawa

Watford's 37-year-old former England keeper Ben Foster has become a summer transfer target for both Chelsea and Everton. (Sun on Sunday)

Naona mpo katika kupambania vijana huko sokoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Inamaana habari za nick pope,onana na jan oblak na dean henderson huwa huzioni hao ndio main target
 
Ben Chilwell set for Chelsea medical after clearing out his things at Leicester
1597586745438.png

1597587031041.png
 
Da we jamaa unatia huruma maana huelewi hata unachosimamia

Haya

Watford's 37-year-old former England keeper Ben Foster has become a summer transfer target for both Chelsea and Everton. (Sun on Sunday)

Kijana huyo.
Mkuu hizi taarifa sijui unazipata wapi ndio kwanza naziona kwako. Muache vya kuokoteza. Tuletee habari za SkySports au Fabrizio Romano and the likes.

Kajipange upya kijana
 
Inamaana habari za nick pope,onana na jan oblak na dean henderson huwa huzioni hao ndio main target
Huwa simjibu zaidi ya mara moja kama haelewi maana hata umri wake sijui, kwa majibu yake tu atakuwa kwenye ule umri wa wale wasioelewa au jirani yake. Habari za media za ushenzini ndio anatuletea hapa kama defending point
 
According to The Athletic, Abramovich could inject as much as £300million into the Chelsea coffers for next season – provided some of the Blues' fringe players are sold.

Emerson, Jorginho, Marcos Alonso, Michy Batshuayi, Tiemoue Bakayoko and Fikayo Tomori are just some of the names to have fallen out of favour at Stamford Bridge.
 
Hawa wanaweza kuja darajani muda wowote
  1. Hakim Ziyech (CAM or RW) - Deal done
  2. Timo Werner (LW or Striker) - Deal done
  3. Lewis Dunk (CB) - Coming soon
  4. Ben Chilwell (LB) - Coming soon
  5. Jan Oblak (GK) - Coming soon
  6. Kai Havertz (CAM or RW) - Coming soon
 
Atleast huyu ana experience kidogo na PL umri wake miaka 28 anaweza kuwa msaada kule nyuma.

Lewis Dunk wa Brighton wale waliofukua mtaro wa Arsenal baada ya break ya Corona.
Screenshot_20200816-202951_1597599193896.jpg
 
Chistophe Lollichon huyu baba ndie scout wa magolikipa katika Club ya Chelsea na ndiye aliyemscout kepa kule Spain kwa muda wa miezi mitatu(3) na akijiridhisha
.
bidhaa yake aliyotuletea [emoji1484]
.
kwenye mashuti kumi na nne (14) ya mechi sita (6) EPL zilizopita kepa amefanya save tatu(3) tu [emoji855]
.
kwenye mechi kumi na tisa(19) za ugenini EPL msimu huu kepa amepata clean sheet moja(1) tu [emoji1]
.
Anashika nafasi ya 22 kati ya magolikipa wa team 20 za EPL ikiwa ina maana kepa halinganiashwi tena na magolikipa wa first eleven [emoji17]
.
MPAKA HIVI SASA JAMAA HAPOKEI SIMU ZA TAKUKURUView attachment 1538855
Wewe unataka nini kwani?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom