mart66
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 610
- 691
Oblack apo [emoji848] sijui kma Chelsea wataweza kutuia Mia na kumi
Oblack apo [emoji848] sijui kma Chelsea wataweza kutuia Mia na kumi
Tatizo ninachohofu lamps lzm amuanzishe mtoto wake mount
Kama ikiwa hivi kuna timu zitaomba mechi isichezwe.
Kwani Mount ni mbovu?Tatizo ninachohofu lamps lzm amuanzishe mtoto wake mount
Tulia weweHuwa simjibu zaidi ya mara moja kama haelewi maana hata umri wake sijui, kwa majibu yake tu atakuwa kwenye ule umri wa wale wasioelewa au jirani yake. Habari za media za ushenzini ndio anatuletea hapa kama defending point
Kule nyuma ya.... [emoji23][emoji23][emoji23]Kweli anaweza kuwa msaada, maana sheffield na westham wanaweza tibua tope muda wowoteAtleast huyu ana experience kidogo na PL umri wake miaka 28 anaweza kuwa msaada kule nyuma.
Lewis Dunk wa Brighton wale waliofukua mtaro wa Arsenal baada ya break ya Corona.View attachment 1539507
Mzee wa takataka naona tulikupa likizo ya lazma[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna mchezaji hapa huyu nae ni takataka tu, hafai kuichezea Chelsea overrated sana. Beki mbona wako wengi na wazuri Sergio Reguilon ama Alex Telles hawa ndio wakusajili sio hilo li takataka.
Hana muendelezo mzuri ....Kwani Mount ni mbovu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunae FRANCISCO ZOLA [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu huwezi pita kimya kimya lazima uhare ili tujue ni wewe. Daah!!Kule nyuma ya.... [emoji23][emoji23][emoji23]Kweli anaweza kuwa msaada, maana sheffield na westham wanaweza tibua tope muda wowoteView attachment 1539592
Mount ana muendelezo mzuri toka alipoanza mpaka anamaliza labda kama humfuatilii.Hana muendelezo mzuri ....
Nadhan hata wakati Garry Cahil anasajiliwa kutoka bolton ingekuwa wakati huu mashabiki wengi wangeupinga usajili coz ya uingereza sisi mashabaki ndio tunavyoamini hivyo tukaeHakuna mchezaji hapa huyu nae ni takataka tu, hafai kuichezea Chelsea overrated sana. Beki mbona wako wengi na wazuri Sergio Reguilon ama Alex Telles hawa ndio wakusajili sio hilo li takataka.
Hapana kuna game kadhaa hakuwa na kiwango kizuriMount ana muendelezo mzuri toka alipoanza mpaka anamaliza labda kama humfuatilii.
Hiyo ni kawaida mara moja moja mchezaji kupoteza consistency baadhi ya mechi. Ila huku mwisho dogo aliwasha moto sana.Hapana kuna game kadhaa hakuwa na kiwango kizuri
Point yangu kutokana na hvyo vikosi sioni lampard akimuacha mount nje...coz kwa msimu huu ndo favourite wa lamps n kacheza game nyingi zaidi ya mchezaji yeyote...ila tusubiri tuoneHiyo ni kawaida mara moja moja mchezaji kupoteza consistency baadhi ya mechi. Ila huku mwisho dogo aliwasha moto sana.
Hakika mzee tungempata ingekuwa poa sanaBaada ya kuwafanyia unyambisi Manure jana, mashabiki wa Chelsea wana maoni haya juu ya Chilwell dhidi ya Sergio Reguilon baada ya Reguilon kuwazuia akina greenwood na wenzake na pia kutoa assists nzuri ya goli la kwanza la Suso dk ya 26
View attachment 1539710
Jamaa akikaa nyuma awaongoze hao kina rudiger itakua poa sana afu bei yake n ndogo
Mason Mount ni mzuri sana ila hataweza fikia quality ya Havertz has kwenye maeneo hayaMimi siongelei Uingereza wake nasema ana kiwango cha chini sana