Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mmeshindwa kumdhalilisha akiwa na 60% wachezaji wa academy mtamdhalilisha akisha sajili?
Mashabiki wengi wa Arsenal wanamatatizo ya afya ya akili hata uwezo wao wa kufikiri umepungua sana,kilichosababisha ni stress za miaka mingi zilizochangiwa na timu yao kufanya vibaya kila msimu wa epl, ndo maana wengi wao wamekuwa walevi wakupindukia.
 
Ligi ya Wakulima vs Ligi ya Wajanja wa mjini
Mbappe mocks 'Farmer's League' criticism after Lyon beat Man City to join PSG in Champions League semi-finals
1597559977910.png
 
Hatuwezi kuwakataza kuchukua wachezaji kwa sababu mnaowachukua ni wale waliokwisha kimawazo na uwezo. Kwa hiyo nawaambia hata Azpilicueta anaelekea mwisho wa mpira wake njooni baada ya msimu ujao mumchukue. Namaanisha mnaoweza kuwachukua ni wale wanaoelekea ukingoni mwa soka lao siyo hawq chipukizi.

Lakini kwa wachezaji ambao wanajielewa hawezi kukubali kutoka Chelsea eti aende Arsenal [emoji23][emoji23] yatakua maajabu ya karne.
Kupata kituko kama hiki tubonyeze ngapi mzee?

[emoji38][emoji38][emoji38]

Hivi mlivyokuwa mnambembeleza asign miaka miwili mlikuwa hamjui kuwa kaisha mawazo na uwezo?

NB: ukiwa na hasira usijitutumue kuongea unawaaibisha timu ndogo wenzako? Yaani waliopo ktk technical staff ya Chelsea pale London wamestruggle kumshawishi jamaa asinye miaka miwili ila wewe uliopo vigwaza unamuona Willian hana uwezo,
Uwage na stamala na aibu.
 
Mashabiki wengi wa Arsenal wanamatatizo ya afya ya akili hata uwezo wao wa kufikiri umepungua sana,kilichosababisha ni stress za miaka mingi zilizochangiwa na timu yao kufanya vibaya kila msimu wa epl, ndo maana wengi wao wamekuwa walevi wakupindukia.
WanaCheisii wenzangu Kumuweka KEPA sokoni kwa sasa ni sawa na kwenda kuuza biblia Saudi Arabia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1597562561099.jpg
 
Chistophe Lollichon huyu baba ndie scout wa magolikipa katika Club ya Chelsea na ndiye aliyemscout kepa kule Spain kwa muda wa miezi mitatu(3) na akijiridhisha
.
bidhaa yake aliyotuletea [emoji1484]
.
kwenye mashuti kumi na nne (14) ya mechi sita (6) EPL zilizopita kepa amefanya save tatu(3) tu [emoji855]
.
kwenye mechi kumi na tisa(19) za ugenini EPL msimu huu kepa amepata clean sheet moja(1) tu [emoji1]
.
Anashika nafasi ya 22 kati ya magolikipa wa team 20 za EPL ikiwa ina maana kepa halinganiashwi tena na magolikipa wa first eleven [emoji17]
.
MPAKA HIVI SASA JAMAA HAPOKEI SIMU ZA TAKUKURU
FB_IMG_1597562785912.jpg
 
Kupata kituko kama hiki tubonyeze ngapi mzee?

[emoji38][emoji38][emoji38]

Hivi mlivyokuwa mnambembeleza asign miaka miwili mlikuwa hamjui kuwa kaisha mawazo na uwezo?

NB: ukiwa na hasira usijitutumue kuongea unawaaibisha timu ndogo wenzako? Yaani waliopo ktk technical staff ya Chelsea pale London wamestruggle kumshawishi jamaa asinye miaka miwili ila wewe uliopo vigwaza unamuona Willian hana uwezo,
Uwage na stamala na aibu.
Exactly, umesema miaka miwili kwa sababu ya uzee, angekluwa na 20's tungempa hata minne
 
Chistophe Lollichon huyu baba ndie scout wa magolikipa katika Club ya Chelsea na ndiye aliyemscout kepa kule Spain kwa muda wa miezi mitatu(3) na akijiridhisha
.
bidhaa yake aliyotuletea [emoji1484]
.
kwenye mashuti kumi na nne (14) ya mechi sita (6) EPL zilizopita kepa amefanya save tatu(3) tu [emoji855]
.
kwenye mechi kumi na tisa(19) za ugenini EPL msimu huu kepa amepata clean sheet moja(1) tu [emoji1]
.
Anashika nafasi ya 22 kati ya magolikipa wa team 20 za EPL ikiwa ina maana kepa halinganiashwi tena na magolikipa wa first eleven [emoji17]
.
MPAKA HIVI SASA JAMAA HAPOKEI SIMU ZA TAKUKURUView attachment 1538855
Fake

Kama hujui kitu huna haja ya kukiongelea

Christophe amepewa kitengo cha goalkeeping scout msimu wa 19/20

By then Kepa alikua keshanunuliwa.

Wakati Kepa alikua ananunuliwa Christophe alikua anafanya kazi na loan & academy players.

History yake inaanza mbali, alikua trainer wa Cech way back in France.

Cech alipohamia Chelsea, Christophe akaja nae. Akawa goalkeeping coach kazi ambayo aliendelea nayo hata Cech alipohama.

Alihamishiwa loan & academy players dep baada ya Curtois kutokukubali training methodologies zake.
 
Mbeleko ipi huna uwezo tu, afu kibaya huna kocha km Manyumbu tu. Yani msimu ujao Gunners hapa Auba, pale Willian, pale Partey kule Pepe haaaahaaa! unakufa nje ndani hatuna cha kupoteza [emoji3][emoji3][emoji3]
Nyie wazee wa kula 8 kama barca mnakelele kinyama, timu yenyewe mbovu, ukijitahidi sana msimu ujao labda uingie top 6 🤣 🤣 🤣
 
Nyie wazee wa kula 8 kama barca mnakelele kinyama, timu yenyewe mbovu, ukijitahidi sana msimu ujao labda uingie top 6 [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Wewe timu gani?,Timu yako imeshinda taji gani this season?
 
Kinachoshangaza badala ya Arse8 kwenda kubishana na mid table teams wenzake (wolves, sheffied utd nk) anakuja kutusumbua wazee wa top 4.

Sisi tunatakiwa tubishane na kukosoana na top 4 wenzetu Liver, city na Man u hawa ndio level yetu kiushindani.

Na nyie mashabiki wa Chelsea hapa mnaobishana na Arse8 mnatuchosha tuu, wastage of time.
Umeshinda taji gani? Mpira ni makombe zingine mboyoyo tu, Spurs kamaliza nafasi nzuri kuliko Arsenal lakini itambidi acheze play off ili atuachie nafasi vidume wa London tuingie direct [emoji3][emoji3]
 
Chistophe Lollichon huyu baba ndie scout wa magolikipa katika Club ya Chelsea na ndiye aliyemscout kepa kule Spain kwa muda wa miezi mitatu(3) na akijiridhisha
.
bidhaa yake aliyotuletea [emoji1484]
.
kwenye mashuti kumi na nne (14) ya mechi sita (6) EPL zilizopita kepa amefanya save tatu(3) tu [emoji855]
.
kwenye mechi kumi na tisa(19) za ugenini EPL msimu huu kepa amepata clean sheet moja(1) tu [emoji1]
.
Anashika nafasi ya 22 kati ya magolikipa wa team 20 za EPL ikiwa ina maana kepa halinganiashwi tena na magolikipa wa first eleven [emoji17]
.
MPAKA HIVI SASA JAMAA HAPOKEI SIMU ZA TAKUKURUView attachment 1538855

Vipi kule kwenu uchunguzi umefika wapi kuhusu usajili wa Pepe?

Nimeona Mkurugenzi wa Maswala ya mpira kala kona.
 
Chistophe Lollichon huyu baba ndie scout wa magolikipa katika Club ya Chelsea na ndiye aliyemscout kepa kule Spain kwa muda wa miezi mitatu(3) na akijiridhisha
.
bidhaa yake aliyotuletea [emoji1484]
.
kwenye mashuti kumi na nne (14) ya mechi sita (6) EPL zilizopita kepa amefanya save tatu(3) tu [emoji855]
.
kwenye mechi kumi na tisa(19) za ugenini EPL msimu huu kepa amepata clean sheet moja(1) tu [emoji1]
.
Anashika nafasi ya 22 kati ya magolikipa wa team 20 za EPL ikiwa ina maana kepa halinganiashwi tena na magolikipa wa first eleven [emoji17]
.
MPAKA HIVI SASA JAMAA HAPOKEI SIMU ZA TAKUKURUView attachment 1538855
Kwahiyo jamaa ni most wanted na TAKUKURU ya huko London?

Nimecheka sana
 
Fake

Kama hujui kitu huna haja ya kukiongelea

Christophe amepewa kitengo cha goalkeeping scout msimu wa 19/20

By then Kepa alikua keshanunuliwa.

Wakati Kepa alikua ananunuliwa Christophe alikua anafanya kazi na loan & academy players.

History yake inaanza mbali, alikua trainer wa Cech way back in France.

Cech alipohamia Chelsea, Christophe akaja nae. Akawa goalkeeping coach kazi ambayo aliendelea nayo hata Cech alipohama.

Alihamishiwa loan & academy players dep baada ya Curtois kutokukubali training methodologies zake.
S
Mimi sijui mkuu, naomba niulize hivi huyo jamaa aliyemscout Kepa ni nani?
Kwa heshima na unyenyekevu uliotukuka naomba jibu. [emoji120]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom