Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1597438198171.png
 
Kati ya Willan na Hazard Yupi wa kumkumbuka sana?

Maumivu niliyonayo moyoni kwa kuondoka Hazard Chelsea hata aondoke mchezaji gani, Hata waondoke wachezaji 6 kwa pamoja wa 1st eleven, sitapata maumivu yoyote kuliko yale ya Hazard. Itanichukua muda kumsahau Hazard.

Kumbukeni zile tetesi za Hazard mfululizo kwenda Madrid unaomba Mungu Madrid wamsahau.

Mchezaji gani wa Chelsea ya sasa ukisikia tetesi zake anahitajika sokoni kununuliwa na timu nyingine unaomba Mungu asiondoke? Nani? Labda kidogo Pulisic
Sure hata Mimi alivyoondoka hazard aisee niliumia sana na sahv sitaki kante aondoke
 
Hatujadharau uhamisho, kilichofanya nicheke ni hii statement aliyosema "I think this club deserves to shine again and I want to be a part of this project" huoni kama ni dharau hiyo au anaashiria ametoka Club kubwa ameenda kwenye Club yenye historia ambayo iliwika kitambo.

Halafu swala la kutufunga mkachukua kombe mjadala ulishaisha kitambo ile mechi ilimalizwa na Antony Tylor.
Hii statement wataielewa baadaye kidogo ligi ikianza
 
Nilikua naishangaa Chelsea kuuza wachezaji wazee, Ila sasa nimeanza kuelewa.

Maana kikosi cha Barcelona tegemeo wengi ni wazee wasio weza mikiki mikiki.
Messi 33 years
Suarez 33 years
Vidal 33 years
Pique 33 years
Busquets 32 years
Rakitic 32 years
Alba 31 years
Neto 31 years.

Hao wote wanastahili mkataba wa mwaka mmoja.
 
Kati ya Willan na Hazard Yupi wa kumkumbuka sana?

Maumivu niliyonayo moyoni kwa kuondoka Hazard Chelsea hata aondoke mchezaji gani, Hata waondoke wachezaji 6 kwa pamoja wa 1st eleven, sitapata maumivu yoyote kuliko yale ya Hazard. Itanichukua muda kumsahau Hazard.

Kumbukeni zile tetesi za Hazard mfululizo kwenda Madrid unaomba Mungu Madrid wamsahau.

Mchezaji gani wa Chelsea ya sasa ukisikia tetesi zake anahitajika sokoni kununuliwa na timu nyingine unaomba Mungu asiondoke? Nani? Labda kidogo Pulisic
Sasa Pulisic kakifanya nini! Mpaka umdharau Ngolo?

Kama Pulisic anaingia hapo basi hata Kepa nae ataingia[emoji23]
 
Hatujadharau uhamisho, kilichofanya nicheke ni hii statement aliyosema "I think this club deserves to shine again and I want to be a part of this project" huoni kama ni dharau hiyo au anaashiria ametoka Club kubwa ameenda kwenye Club yenye historia ambayo iliwika kitambo.

Halafu swala la kutufunga mkachukua kombe mjadala ulishaisha kitambo ile mechi ilimalizwa na Antony Tylor.
Wewe ndio hujaelewa,Willian anaona hiyo ni Club kubwa inadeserve kushinda Invincible kila mwaka ila siyo kufananishwa na Utopolo huo.
 
Walitusema sisi Chelsea ni wabovu
Barcelona yuko nyuma 3-1 dk ya 27
Kwa hiyo mnajicompare yupi bora zaidi kwa kuangalia nani kapigwa goli nyingi dakika za mapema?[emoji3][emoji3][emoji3]
Mentality ya timu ndogo hii, kupigwa ni kupigwa tu.
 
Wakuu wana Chelsea wenzangu popote mlipo piga kifua sema Ahsante Mungu haya mambo anayofanyiwa Barcelona nahisi sisi tumejitahidi sana. Barca anashukuru mungu hizi game hazina home and away.

Piga kifua popote ulipo tumefanya kazi kubwa asee
Kwa hiyo Chelsea ni bora kwa kuwa hamjapigwa nyingi na Bayern[emoji3][emoji3][emoji3]

Kwa kweli dunia ina vituko mtu anapigwa 7 bado anasema wapige vifua mbele wapo vizuri,mkiambiwa club ndogo mnabisha[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe ndio hujaelewa,Willian anaona hiyo ni Club kubwa inadeserve kushinda Invincible kila mwaka ila siyo kufananishwa na Utopolo huo.
Kichwa kina mambo mengi mpaka anashindwa kuelewa vitu vidogovidogo.... Si ahamie hata Leeds kupunguza msongo, kutoka kapa kunakera
 
Willian ni utumbo kwa kuwa kaenda Arsenal?? Ushabiki usikuzidie cheltako
Wakati wanaubembeleza utumbo kuupa kandarasi ya miaka miwili sijui walikuwa wamelewa. [emoji23][emoji23][emoji1616][emoji2089]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom