Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Usisahau pia kwa upande wa kocha
Bora mechi zimeisha tumechoka kuangalia Chelsea ya ovyo kuwahi kutokea ndani ya miaka 10 ya karibuni.

Tujipange kwa msimu ujao, kwa maana ya kusajili wachezaji wazuri kila idara.

Itakuwa upumbavu kuendelea kuwa na makipa wa ovyo msimu ujao

Itakuwa upambavu kuendelea kuwa na mabeki wa ovyo msimu ujao

Itakuwa upambavu kuendelea kuwa na viungo nyanya wasiokuwa na ubunifu msimu ujao

Itakuwa upambavu kuendelea kutegemea vijana wadogo wanaopambwa ni talent za baadae ili hali viwango vyao ni vya kwenye training ground.

Itakuwa upambavu mkubwa kuendelea kuona Chelsea inayocheza kwa kurelax na kumpa adui nafasi ya kujipanga na kutufunga.

Tunataka Chelsea ya wachezaji wapambanaji, wachezaji wanaume na sio vivulana vya academy visivyokuwa na P.O BOX
 
Chelwowo bhana mbona mpo kimya msisahau kwamba jana mmetiwa kidole
 
Nyie jamaa, mnalala mpaka muda huu mna raha gani? Msijifiche katika sakata la Benard Morrison[emoji23][emoji23][emoji23]





Week kama WIKI kudadadek
 
Wewe ulipewa dozen kasoro mbili unajitoa ufahamu? Mzee wa vipigo heavy
London is Red
1596921361379.jpg
 
Chelsea [emoji574] all the way from London to Munich 4-1 reason, collecting goals [emoji23][emoji23][emoji196]
 
Hili ndilo lililomkimbiza Luiz, maana alijua ataingia tena kwenye historia ya WIKI
1596972867708.jpg
 
Ni bora chelsea kumsajili alcantara kuliko kumchukua hevertez
Thiago ni mrithi sahihi wa fab.. Ana offer vjtu vingi, pass, anakaba vizuri kuliko jogihno..

Anaozohefu wa kutosha kwa mechi ngumu na timu kubwa.. Then anapatikana kwa bei poa, japo umri umeenda
 
Lampard hafai kuifundisha Chelsea aende huko Championship, Lampard ana maamuzi ya kipumbavu sana yule jamaa anakera sana.
Baada ya kufungw jana ndio unayasema haya ila mwanzo mlikua mnaona nini kwake? Hebu acheni hizo bhana akishinda sifiwe akifungwa apondwe na mseme hafai.

Lampard ndio kocha anayefaa Chelsea
 
Chelsea isisajili tu wachezaji stars bali ifanyie marekebisho makubwa benchi la ufundi

Kuanzia kwa

  1. kocha wa magolikipa
  2. Performance coach
  3. Kocha anayehusika na safu ya ukabaji
Henrique Hilario - Goalkeeper Coach - The goalkeeper coach was bought in by former manager Antonio Conte in 2016.

Huyu anatakiwa aondoke aletwe mwingine mwenye
 
Welcome to the Arsenal,

@willianborges

If you play for the badge and give your all for this club, you'll do great here. [emoji837]
IMG_20200807_123407.jpg
 
Kazi ya ukocha ngumu jamani. Kuna muda huwa namwangalia Lampard namuonea huruma.

Wakati mechi inaendelea machoni anaonekana anatamani ashinde mechi ila ndio hivyo haiwezekani mbinu zimegonga mwamba + uwezo mdogo wa wachezaji.

Lampard nilivyomsoma anahitaji wachezaji wazuri sana wa kushinda mechi kwa uwezo wao binafsi zaidi ya mbinu zake uwanjani.

Ndio maana tukifungwa mechi huwa anataja sababu kuu ni:-

1. Individual errors
2. Tumetengeneza nafasi nyingi tumeshindwa kuzimalizia ( hapa individual perfomance ya wafungaji)

Uwezo wa academic players tumeshauona, kuwategemea tena msimu ujao itatucost zaidi.

Mafanikio ya Lampard ni kupata wachezaji wenye viwango vikubwa. Watakaofanya kazi kubwa uwanjani yeye akae kwenye kiti achore 4

Lampard ni kocha wa kumaliza mechi uwanja wa mazoezi na vyumba vya kubadilishia nguo.

Ndio maana timu pinzani inapoingia kwenye yaliyokuwa maandalizi yake anaibamiza na vice versa is true.

Timu pinzani ikija tofauti na maandalizi yake timu yetu inacheza mpira ambao haueleweki, wachezaji hawajui watumie mbinu gani nyingine na quality zao ni ndogo inaishia kurelax na kucheza back passes milioni 1

Lampard Hapendi sana kubadilisha mbinu uwanjani wakati mechi inaendelea. Ila atajaribu kufanya sub apate quality zaidi ya mchezaji eneo husika na sio sub za kimbinu.
Umeongea point ndugu
Hawa academy hawana consistency kabisa. Wengine tuliwasifia wakati ule hatukuruhusiwa kusajili. Sasa tumefunguliwa tuwalete wachezaji kamili world class wenye kuamua matokeo dressing room.
Ukiangalia Bayern ya mwaka huu wako fit kila idara kwa nguvu, kwa skills, kwa mentality na kwa umakini vitu ambavyo Chelsea haipo kabisa
Kwa mechi ya jana na zinginezo nimegungua pia kukosekana kwa kiongozi kama Teri, Azpi anajitahidi sana ila jhajafikia leadership ya Tery hasa kule nyuma. Defenders wote wanakaba sana ila bila kutumia akili. Magoli ya jana vichekesho tupu hata siwezi kuelezea. Kepa sas naanza kumuelewa, Mabeki wetu hata kujipanga kukaba hawajui utafikiri hawajafundishwa.
Hii timu kwa ujumla ni ya kusafisha yote
Hata kule mbele Pulisic asipokuwepo wa kupiga chenga hatuwezi funga magoli. Ukiangalia jana Bayern hawakuwa wanapiga chenga kama Pulisic. Walikuwa wanapanga kufunga, wachezaji wanapelekwa mpaka wanappoteana halafu Lewandowski au Perisic anafunga kiulaini.
Mamanegement isajili wachezaji waliokamilika, wanaofundishika, wenye tallent binafsi na ambao ni professional.
ACADEMY wanafaa sana kwa sub, timu B na potentials za baadaye wakikomaa kama akina Tomori na Mount
Kwa maoni yangu benchi lote la defense tunahitaji kusajili first team
Katikati tunahitaji kiungo mfungaji na mtoa assists double digits kila mwaka kwenye magoli na assists. Ziyech anaweza hiyo kazi
Tuwapate winga calibre ya akina sancho, rahim. Tuwapate mabeki wa kumlinda kipa na tupate kipa world class. Nahisi kwa mahitaji haya, Bado Chelsea itaendelea kujengwa 2020/21
Aajiriwe fundi wa mabeki kama John Tery
 
Hawa watu wa Leverkusen wahuni bana
Eti wanasema Havertz hana discount ya COVID-19
Lazima Chelsea walipe pesa zote
 
Waliosababisha Willian avimbe shingo na akatae mkataba wa miaka miwili wa Chelsea ni Arsenal na nawahakikishia Arsenal itakuja kuwabumbia siku moja msimu ujao na mtakuja kujua kuwa vya bure vinaua.
Hata hivyo mtamsajili SUB mzuri sana
 
Chelsea boss Lampard insists he and his staff can handle defensive coaching duties

1596982057925.png
 
Lampard kama amerule out move ya Chelsea kwa kai havertz




Asked specifically about rumours linking Chelsea with Bayer Leverkusen’s Kai Havertz, Lampard responded: ‘I wouldn’t expect anything but it’s our job to go away and see what happens and see where we can improve.

‘In a footballing sense, I feel like I know where we can improve but now it’s time to look at that.’


Aisee naomba iwe something different anataka awachezeshe watoto wake kina mount FFS...
Sio kweli
Kasome habari yote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom