Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,386
- 77,268
Ollachuga Oc mimi nipo hapa
Ukifanya fujo huku nakusapoti kwa asilimia 10000000%[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unasemaje? View attachment 1531631
Depend n performace yake ikojeChealsea ni timu ina Sera za kipumbavu sana.Mchezaji hata akiwa mzuri namna gani akifikusha umri wa miaka 30 tu wanaanza kumletea ujinga wa mkatababa wa mwaka mmoja.
Leo Lewandiski amewafunga goli nyingi na ndio ana 31.Angekuwa Chelsea huyu angeuzwa arsenal au man U.
Hizi ni akili au matope?
Wewe ulikunywa 10 umesahau?WIKI.
Wewe ulipewa dozen kasoro mbili unajitoa ufahamu? Mzee wa vipigo heavy
Mkuu unaelewa unachoandika au umeandika kwa sababu tu una kifaa cha umeme.?Chealsea ni timu ina Sera za kipumbavu sana.Mchezaji hata akiwa mzuri namna gani akifikusha umri wa miaka 30 tu wanaanza kumletea ujinga wa mkatababa wa mwaka mmoja.
Leo Lewandiski amewafunga goli nyingi na ndio ana 31.Angekuwa Chelsea huyu angeuzwa arsenal au man U.
Hizi ni akili au matope?
London ni Utopolo![emoji3]
Upo. 🤣🤣🤣🤣🤣 kwa hiyo umekufa kiume..........Wewe ulikunywa 10 umesahau?
Hizi timu za London zinaidharirisha EPL.London ni Utopolo![emoji3] View attachment 1531707