Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1596916969351.png

1596916933435.png
 
Chealsea ni timu ina Sera za kipumbavu sana.Mchezaji hata akiwa mzuri namna gani akifikusha umri wa miaka 30 tu wanaanza kumletea ujinga wa mkatababa wa mwaka mmoja.

Leo Lewandiski amewafunga goli nyingi na ndio ana 31.Angekuwa Chelsea huyu angeuzwa arsenal au man U.
Hizi ni akili au matope?
 
Man unafikiri Ronaldo agekuwa Chelsea angepewa mwaka 1? sasa niambie upekee wa jamaa kupewa miaka 3 wakati hata miwili ni upendeleo kwa past record zake
 
Hamna la kushangaza hapa. Kila mtu alienda na matokeo mfukoni na yamekua kama tulivyowazia.

Huyu Davies mzuri timu ikiwa inashambulia msumeno ukiwageukia anakua komedi, hii ni kariba ya Arnold, Marcelo, Roberto, Zaneti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom