Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tangu arudi kwenye first team Zouma amekuwa na consistency nzuri tofauti na wenzake akina Rudiger, Christensen na Tomori ndio kapotea kabisa.
Pamoja na Zouma kucheza vizuri sio level ya Chelsea ya kupigania ubingwa, ni level ya mid-table team. Akibaki Chelsea labda awe backup au tim u B kwa ajili ya Carabao na FA
 
Lampard yupo busy tu kununua strikers na midfielders wakati tuna matatizo makubwa sana kwenye eneo la ulinzi. Andreas Christensen, Reece James, Kurt Zouma na Emerson sio viwango vyetu kabisaa
Shida yetu sisi wa bongo huwa hatufatilii hata tetesi tu
Btw dirisha ndoo kwanza liko wiki ya 2 tangu lifunguliwe na linafungwa mwz wa 10 mwanzon

Kila kitu kinaenda na mda
Team nyingi tu zishachujua chelsea inahitaji beki case study man utd kwa maguire
Ukiingia kichwa kichwa kuna kupigwa

Ps
Haya maneno ungefaa uyaseme pale dirisha likikaribia kufungwa na hakuna usajili wowote sio sasa
 
Hivi nyinyi mlikuwa mnashiriki UCL gani? Ya mabibo au[emoji23][emoji23][emoji23]
1597031707313.jpg
 
Lampard yupo busy tu kununua strikers na midfielders wakati tuna matatizo makubwa sana kwenye eneo la ulinzi. Andreas Christensen, Reece James, Kurt Zouma na Emerson sio viwango vyetu kabisaa
Aisee dirisha LA usajili linafungwa baada ya siku 56 huko kama sikosei...unasema hvyo kama dirisha LA usajili limewekwa kwa wiki 2 tu
 
Aisee dirisha LA usajili linafungwa baada ya siku 56 huko kama sikosei...unasema hvyo kama dirisha LA usajili limewekwa kwa wiki 2
My point was speed ile ile iliyotumika kuwaleta strikers Hakim Ziyech na Timo Werner ingetumika pia kwenye maeneo ambayo kuna ubovu wa dhahiri kabisa. Anyway, endelea kuwa na matumaini tu. Bado mapema kama ulivyosema
 
Soko ni mapema. Lampard akichelewa kusajili defenders wengine itakuwa hatari kubwa sana kwa hii team next season.
Na asisema ni mapema wakati macoacher wa team zingine wako sokoni.
 
My point was speed ile ile iliyotumika kuwaleta strikers Hakim Ziyech na Timo Werner ingetumika pia kwenye maeneo ambayo kuna ubovu wa dhahiri kabisa. Anyway, endelea kuwa na matumaini tu. Bado mapema kama ulivyosema
Mbona zipo tetesi za Chelsea kutuma offer kwa baadhi ya club MF. José gimenez(atletico)
John stones, declan rice .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom