Narudia kusema uwe mshabiki wa CHELMATAKO au wa timu nyingine na unalalamikia ushindi wa jana wa Arsenal huo ni upumbavu kwa sababu uchavu alioufanya jana Lampard ni uhalifu wa kimataifa kwenye mpira au kwa jina lingine ni Ugaidi kwenye mpira
katika dakika kama 73 Chelsea alizocheza akiwa kamili uwanjani hawakupata goli hata la offside Arsena walitufanyia uonevu mtupu. Katika yellow card 6 Chelsea alizopewa zote zilikuwa fair ikiwemo yellow ya Azpilicueta ilikuwa ni redcard ya wazi kabisa including uamuzi wa penalti ni wa halali yaani yule Azipu kutopewa red ilikuwa ni kama kupewa sadaka ya Iddi kwakweli tumshukuru sana refa maana bila ya yeye ilitakiwa tucheze 8 uwanjani na tungepigwa kipigo cha mbwa koko na hawa wababe wa London. Foolish CHELTAKO in EPL
acha masihara mkuu,hiyo UEFA unayomaanisha ni hii wanayoenda kucheza na Bavarian pale allianz arena au ipi?
Arsenal haijawahi kubebwa. Hata VAR katika Aubameyang kushikwa haikutakiwa kutumika.[emoji1787][emoji1787] kauli kama hii inaashiria kweli ilikua mbeleko wewe mwenyewe umeona
Bob acha kujizungusha. Leta videoKwahyo hapo mpira upo ndaniView attachment 1524601
kudadadeki haya ndio mambo sasa, hahahahahahahahahahahaha samahani naomba niichukue hii picha mkuu King Ngwaba
kudadadeki haya ndio mambo sasa, hahahahahahahahahahahaha samahani naomba niichukue hii picha mkuu King Ngwaba
kudadadeki haya ndio mambo sasa, hahahahahahahahahahahaha samahani naomba niichukue hii picha mkuu King Ngwaba
kabisa yani maana itakuwa ntapokanyaga tu cheltako wote wanakimbia haahahaha ahsanteNzuri hiyo kwa Profile
hahahaha dah hii Bavarian yenye harufu ya Red?kwani Gnabry ni mgonjwa?Anaenda kupindua Meza kibabe
Nimcheka hatari eti Fransisco Zola, mwambie watu tuliiona Chelsea ya Ruud Gullit na bado tukawaona ni utopolo tuHakuna mchezaji anayeitwa Fransisco Zola, nyie mnasikiliza sana stori za vijiweni na haka katimu kenu.
GIANFRANCO ZOLA.
eboh
Score body!!! Umetisha mzee babaNawakumbusha tu!
Mjiandae kurudiana na The Bavarians (Bayern Munchen)
Lewando na Müller kwa pamoja wameshatuma condolences zao kwa Chelshit kuelekea kwenye 2nd leg ndani ya ghetto la wahuni wa kijerumani, Allianz Arena.
Wamesema score body wanaifuta, hawaingii na aggregate scores. Wao wanaanza kuhesabu upyaaa!!![emoji28]
Hamjawahi kubebwa,mbona unakuwa msahaulifu?Mkuu ile mechi ya Baku tuliwafunga kihalali sisi hatujawahi kubebwa na ndio maana hamkua na sababu ya kulalamika lakini kilichotokea jana ni utumbo though siwezi kataa mlicheza vizuri lakini yale mahaba ya refa kwenu yalichangia kufifisha juhudi za wachezaji wetu. Mchezaji wenu akiguswa kidogo mpira ushawekwa lakini mchezaji wetu anaparamiwa kabisa mpira unaendelea tu.
Sema safi tu ndio mpira. Hongereni kwa ushindi.
Umejitahidi sana kijana kutumia adobe ila imekuumbuaBBC wamethibitisha mikono ya Martinez ilikuwa ndani ya box. Hakuna dhulma hapo!View attachment 1524602
Unachozungumzia ni scene tofauti kabisa wala hujaelewa kitu.Kipepe kamvagaa Pedro?
Pedro alivyofika pale akawa anangoja kuguswa, yaani alikua katega kabisa aguswe aanguke. Pia mtu akiwa na mpira na yuko mbele yako namna pekee ya kuuchukua mpira ni ama umshike kama Aubameyang alivyofanyiwa na au uuchukue kama alivyofanya Pepe.
Pepe kauchukua mpira kama dunia nzima mpira unavyochukuliwa halafu Pedro akajiangusha baada ya kujitegesha.
Ulitaka iwe faulo?