London always bluekaa utulie ulieeeeeeeeeee kwanza upunguze machungu kisha pata maji safi unawe uso uondoe hilo tongotongo la wenge kisha kesho kutwa uanze kuingia humu maana unajiaibisha tu,yule Ollachuga Oc munamdharau lakini ana hekima sana maana yeye anaenda kunywa mipombe huko stress zikiisha siku ya 3 utamuona hapa kwani anaogopa aibu kama hizi....
CHELMATAKO wote kwa pamoja semeni LONDON IS RED
Peleka malalamiko yako FA harafu watunyan'ganye kombe Kama unaona hiyo ndio suluhisho [emoji3][emoji3]Narudia kusema uwe mshabiki wa Ars8 au wa timu nyingine na unashabikia ushindi wa jana wa Arse8 huo ni upumbavu kwa sababu uchavu alioufanya jana Antony Taylor ni uhalifu wa kimataifa kwenye mpira au kwa jina lingine ni Ugaidi kwenye mpira
katika faulu kama 10 Chelsea alizofanya kama nusu hivi ni uonevu mtupu. Katika yellow card 6 Chelsea alizopewa kama 2 tu zilikuwa fair zingine uonevu ikiwemo yellow ya pili ya Kovacic, Mount na Azpilicueta including uamuzi wa penalti ni wa kupewa sadaka ya Iddi. Foolish refering in EPL
Pia mpira unatakiwa uwe nje wote kisibaki hata kipande.Hebu elewa nilichoandika. Mpira ndiyo hautakiwi kua nje siyo mwili au mikono. Ndiyo maana hata kipa anaweza kuudaka mpira huku mwili ukiwa nje ya uwanja.
Kwa unavyojua wewe hichi unacholalamikia kingekua kweli refa angeweka nini?
Ok poa, kombe lenu nendeni mkasherehekeeNimejaribu kuweka mpaka slow motion hiyo rafu aliyomfanyia Kovacic Taylor
View attachment 1524591
We bwana wee! game ya jana hata mngecheza kamili hadi mwisho msingeshinda.Nimejaribu kuweka mpaka slow motion hiyo rafu aliyomfanyia Kovacic Taylor
View attachment 1524591
hili povu ni la JAMAAUkiachana na Arsenal kuroga wachezaji wetu waumie lakini pia Refa akaweka mchango wake wa kuwabeba bila aibu.Huyu Refa Hana tofauti na marefa wa bongo land.
Refa alikuwa mshabiki wa Arsenal.Oya chelwowo mmeonewa sana jana refa kawaonea
Kwahyo hapo mpira upo ndaniHebu elewa nilichoandika. Mpira ndiyo hautakiwi kua nje siyo mwili au mikono. Ndiyo maana hata kipa anaweza kuudaka mpira huku mwili ukiwa nje ya uwanja.
Kwa unavyojua wewe hichi unacholalamikia kingekua kweli refa angeweka nini?
Kwa maoni yangu Refa kawabeba Arsenal sana
Kovacic alifanyiwa rafu halafu yeye ndio anaadhibiwa
Pedro kafanyiwa rafu eneo la penalti refa akapeta
Martinez kadakia nje ya eneo lake refa kapeta
Upande wa pili Chelsea na Arsenal wamecheza hovyo
Chelsea walicheza kama dakiak 20 za mwanzo ile kandanda yao waliofunzwa na kocha baada ya hapo wakaanza uchovu mwingi japo waliendelea kumiliki mpira zaidi ya Arsenal
Hata hivyo hayo yamepita tugange yajayo ambayo yanapendeza zaidi
Azpi alipoumia na Pulisic na Kovacic kutolewa nilitegemea Arsenal wangetumia hiyo fursa kuongeza mabao lakini na wao wamechoka kama Chelsea
Naona hii msongamano wa mechi imewaadhjiri sana wachezaji
Hongera sana Pedro umekufa kiume ukitetea timu kusawazisha japo unaondoka Chelsea. Mungu akuponye haraka
acha masihara mkuu,hiyo UEFA unayomaanisha ni hii wanayoenda kucheza na Bavarian pale allianz arena au ipi?Acheni kulialia jipangeni kwa UCL
Kipepe alimvagaa Pedro, Mount naye aliparamiwa na zote zikapitaHebu sema wapi mchezaji wenu aliparamiwa na ikapita kama ilivyo?
Unaenda unarudi na hautokuja kueleweka. Rudi kasome comment yako iliyofanya mimi noandike ivyoukiwa shabiki wa hii timu ni shida tu,sasa kabla ya miaka kumi haka katimu kalikuwa kuzimu?ndio maana tunawaambia nyie bado vitoto
BBC wamethibitisha mikono ya Martinez ilikuwa ndani ya box. Hakuna dhulma hapo!Kwahyo hapo mpira upo ndaniView attachment 1524601
Wapo pole Arsenal sisi uonevu tushazoea. Tukutane msimu ujaoPoleni the blues
[emoji1787][emoji1787] kauli kama hii inaashiria kweli ilikua mbeleko wewe mwenyewe umeonaOk poa, kombe lenu nendeni mkasherehekee
Kipepe kamvagaa Pedro?Kipepe alimvagaa Pedro, Mount naye aliparamiwa na zote zikapita